Jinsi Voucher za Simu Zinavyo tengenezwa

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,610
Habari zenu wakuu,

Imekuwa ni vigumu sana kwa watumiaji wa simu kukisia zile tarakimu za voucher za simu ili kuongeza salio. Wengi wanao kisia hizo namba za simu huwa wanakosea na ukikisia mara nyingi namba yako inafungiwa.

SASA, mwenye elimu na utashi juu ya hizi voucher zinavyotengenezwa yaani formula inayotumika kutengeneza hizo voucher ili watu washindwe kukisia atushirikishe nasi pia tu faham.
 
Nafikiri hii ingepelekwa jukwaa la sayansi na teknolojia
 
Ni vigumu kupata hiyo algorithm hata ukifanikiwa kugenerate lazima ziwe activated
 
Mmh! ukweli ni kwamba,hakuna teknolojia kubwa sana inayotumika kutengeneza vocha,kinachofanyika ni ku print tarakimu 14 ambazo kwa vyovyote huwezi kuzipatia zote kama unataka kufoji,na kwa kuwa maelfu ya vocha yanakuwa printed,kuna tahadhari kubwa inafanywa ambayo ni sawa na mbinu ya kijeshi,muone kabla hajakuona,ktk mbinu hiyo ndo maana ukijaribu kufoji zaidi ya mara kumi unafungiwa line,kwa nini wanafanya hivyo? ni kwa sababu ukirudia mara nyingi zaidi,mwisho wa siku lazima utapatia tu,that's why kuna restrictions hizo,wabongo mbona mna akili ndogo hivyo? ndo maana mnaendelea kuchagua ccm pamoja na kuwa,ni afadhali ya kinyesi utakigeuza mbolea kuliko ccm ambayo ni mauti ya watanzania.

I HATE THESE PEOPLE, wameshatutesa vya kutosha, wakiendelea kuiba kura, option will be military rebelion, KARIBUNI MNING'OE KUCHA, AU MNIUE, TUMESHACHOKA, ukatili wenu ccm ipo siku mtaulipa,time will tell,SIWAPENDI KABISA NYIE WATU.
 
Truth guy umeongea ukweli sana had nimependa!
 
Wanatumia PROBABILITY

Ndio, kwa maana ya permutation and combination. Kama umesoma hisabati utaelewa hii kitu. Hivyo ni vigumu kukisia namba kwa kuwa ni nyingi sana.
 
Mmh! ukweli ni kwamba,hakuna teknolojia kubwa sana inayotumika kutengeneza vocha,kinachofanyika ni ku print tarakimu 14 ambazo kwa vyovyote huwezi kuzipatia zote kama unataka kufoji,na kwa kuwa maelfu ya vocha yanakuwa printed,kuna tahadhari kubwa inafanywa ambayo ni sawa na mbinu ya kijeshi,muone kabla hajakuona,ktk mbinu hiyo ndo maana ukijaribu kufoji zaidi ya mara kumi unafungiwa line,kwa nini wanafanya hivyo? ni kwa sababu ukirudia mara nyingi zaidi,mwisho wa siku lazima utapatia tu,that's why kuna restrictions hizo,wabongo mbona mna akili ndogo hivyo? ndo maana mnaendelea kuchagua ccm pamoja na kuwa,ni afadhali ya kinyesi utakigeuza mbolea kuliko ccm ambayo ni mauti ya watanzania,I HATE THESE PEOPLE,wameshatutesa vya kutosha,wakiendelea kuiba kura,option will be military rebelion,KARIBUNI MNING'OE KUCHA,AU MNIUE,TUMESHACHOKA,ukatili wenu ccm ipo siku mtaulipa,time will tell,SIWAPENDI KABISA NYIE WATU.

CCM inahusika nini na hii issue ya kutaka kufoji vocha ? Fanya kazi kwa bidii, acha kukaa kijiweni na kusingizia watu wengine.
 
Mmh! ukweli ni kwamba,hakuna teknolojia kubwa sana inayotumika kutengeneza vocha,kinachofanyika ni ku print tarakimu 14 ambazo kwa vyovyote huwezi kuzipatia zote kama unataka kufoji,na kwa kuwa maelfu ya vocha yanakuwa printed,kuna tahadhari kubwa inafanywa ambayo ni sawa na mbinu ya kijeshi,muone kabla hajakuona,ktk mbinu hiyo ndo maana ukijaribu kufoji zaidi ya mara kumi unafungiwa line,kwa nini wanafanya hivyo? ni kwa sababu ukirudia mara nyingi zaidi,mwisho wa siku lazima utapatia tu,that's why kuna restrictions hizo,wabongo mbona mna akili ndogo hivyo? ndo maana mnaendelea kuchagua ccm pamoja na kuwa,ni afadhali ya kinyesi utakigeuza mbolea kuliko ccm ambayo ni mauti ya watanzania,I HATE THESE PEOPLE,wameshatutesa vya kutosha,wakiendelea kuiba kura,option will be military rebelion,KARIBUNI MNING'OE KUCHA,AU MNIUE,TUMESHACHOKA,ukatili wenu ccm ipo siku mtaulipa,time will tell,SIWAPENDI KABISA NYIE WATU.

Ongelea vocha acha kukashifu, kutukana wala kukejeli vyama vya wenzio, wenzio ndo ofisi yao hiyo
 
Back
Top Bottom