Jinsi Voucher za Simu Zinavyo tengenezwa

Jinsi Voucher za Simu Zinavyo tengenezwa

I
Mmh! ukweli ni kwamba,hakuna teknolojia kubwa sana inayotumika kutengeneza vocha,kinachofanyika ni ku print tarakimu 14 ambazo kwa vyovyote huwezi kuzipatia zote kama unataka kufoji,na kwa kuwa maelfu ya vocha yanakuwa printed,kuna tahadhari kubwa inafanywa ambayo ni sawa na mbinu ya kijeshi,muone kabla hajakuona,ktk mbinu hiyo ndo maana ukijaribu kufoji zaidi ya mara kumi unafungiwa line,kwa nini wanafanya hivyo? ni kwa sababu ukirudia mara nyingi zaidi,mwisho wa siku lazima utapatia tu,that's why kuna restrictions hizo,wabongo mbona mna akili ndogo hivyo? ndo maana mnaendelea kuchagua ccm pamoja na kuwa,ni afadhali ya kinyesi utakigeuza mbolea kuliko ccm ambayo ni mauti ya watanzania,I HATE THESE PEOPLE,wameshatutesa vya kutosha,wakiendelea kuiba kura,option will be military rebelion,KARIBUNI MNING'OE KUCHA,AU MNIUE,TUMESHACHOKA,ukatili wenu ccm ipo siku mtaulipa,time will tell,SIWAPENDI KABISA NYIE WATU.
Is there a room where we can discuss a general issues and chuck away politics?i'm fed up spicing issues with politics!
 
CCM inahusika nini na hii issue ya kutaka kufoji vocha ? Fanya kazi kwa bidii, acha kukaa kijiweni na kusingizia watu wengine.
I'm real get pissed to people who attach every issue to politics!
 
Hii akili ya kutaka kufoji mambo ingetumika katika kuleta maendeleo hakika tungekuwa mbali sana. Tatizo akili ni ndogo kwa hiyo inatafuta shortcut. Akili kubwa inatafuta jinsi ya kutatua matatatizo teh teh teh
 
hapa wanatumia probability(permutations and combination) 14digits can generate trillions of combinations,what chance do you have when you guess a maximum of 10 combination against trillions? THINK
 
Labda utumie nguvu ya msuba ndio utaweza kufikiria formula yake hehehehe...
 
Uwezekano wa kupatia vocha ya kufoji ni jaribio 1 kati ya majaribio milion 14
 
Mmh! ukweli ni kwamba,hakuna teknolojia kubwa sana inayotumika kutengeneza vocha,kinachofanyika ni ku print tarakimu 14 ambazo kwa vyovyote huwezi kuzipatia zote kama unataka kufoji,na kwa kuwa maelfu ya vocha yanakuwa printed,kuna tahadhari kubwa inafanywa ambayo ni sawa na mbinu ya kijeshi,muone kabla hajakuona,ktk mbinu hiyo ndo maana ukijaribu kufoji zaidi ya mara kumi unafungiwa line,kwa nini wanafanya hivyo? ni kwa sababu ukirudia mara nyingi zaidi,mwisho wa siku lazima utapatia tu,that's why kuna restrictions hizo,wabongo mbona mna akili ndogo hivyo? ndo maana mnaendelea kuchagua ccm pamoja na kuwa,ni afadhali ya kinyesi utakigeuza mbolea kuliko ccm ambayo ni mauti ya watanzania,I HATE THESE PEOPLE,wameshatutesa vya kutosha,wakiendelea kuiba kura,option will be military rebelion,KARIBUNI MNING'OE KUCHA,AU MNIUE,TUMESHACHOKA,ukatili wenu ccm ipo siku mtaulipa,time will tell,SIWAPENDI KABISA NYIE WATU.

Mmmmmh mjomba kweli wamekuudhi kutoka vocha mpaka ccm?
 
Kuna programe ina generate number kwani ni program na si binadamu anaye chagua ikicha fanya hivyo zinakuwa registered katika miundombinu husika kama ni tigo,voda,airtel..etc hivyo kwenye data base ya kampuni inakuwa inazitambua nikama uonavyo mashine za luku ambayo iko majumbani mweni ile kabla ajafungiwa mteja inasajiliwa serial no hivyo inakuwa katika database ya tanesco ndo maana unaenda na namba ya mita ukiingiza computer inatengeneza namba kutokana na kiwango cha pesa ulichokiandika!Kifupi ni Programe zilizopo katika mitambo ya kampuni husika!
 
Kuna code flani za mastaaf wa mtandao fulan ziliwahi kuvuja watu wakawa wanapiga simu, wanatuma sms na kuperuz kwa gharama nafuu mno vocha ya buku inakaa hadi unasahau, wakashtukia wakazibadilisha
 
Mimi sio mtaalam wa hayo mambo ila katika hali ya kawaida, hata ukifanikiwa hautafika mbali utagundulika tu.
Kwa mfano nna uhakika kabisa kwamba wanapotengeneza hizo vocha, huwa zinapewa namba zake za utambulisho.
Ili kama itatokea vocha imekua na tatizo waweze kufuatilia kwa urahisi. Hivyo kama nimefanikiwa kubahatisha namba ya vocha halali ambayo bado haijatumia, huyo atakaekuja kuingiza vocha halali itamkatalia na kutoa ujumbe kwamba vocha hiyo imetumia kwenye namba ya simu na fulani, hapo ndio shida itakapoanzia.

Japo najua umeuliza kwa lengo lakujifunza kutaka kujua utaalamu unaotumika tu au lengo ni kutaka kujipatia muda wa maongezi bila kununua vocha.....

Mwisho wa siku haya mambo yanategemea imani ya mtu binafsi na una misingi gani ya uadilifu na unathamini kitu gani kwenye maisha yako. Ni afadhali nile elfu hamsini yangu ya halali kwa amani kuliko kuishi maisha ya anasa ya pesa zisizo za halali huku nikiwa na hofu kila siku! Nunua vocha tu mkuu.
 
Back
Top Bottom