Jinsi Voucher za Simu Zinavyo tengenezwa

Jinsi Voucher za Simu Zinavyo tengenezwa

Habari zenu wakuu,

Imekuwa ni vigumu sana kwa watumiaji wa simu kukisia zile tarakimu za voucher za simu ili kuongeza salio. Wengi wanao kisia hizo namba za simu huwa wanakosea na ukikisia mara nyingi namba yako inafungiwa.

SASA, mwenye elimu na utashi juu ya hizi voucher zinavyotengenezwa yaani formula inayotumika kutengeneza hizo voucher ili watu washindwe kukisia atushirikishe nasi pia tu faham.

Chukua vocha 17 zilizokwisha tumika kwa kufuatana kaa nazo kisha anza ku-study that pattern ya hizo 14 digits then you will guess the other digits za vocha inayofuata!
 
Mmh! ukweli ni kwamba,hakuna teknolojia kubwa sana inayotumika kutengeneza vocha,kinachofanyika ni ku print tarakimu 14 ambazo kwa vyovyote huwezi kuzipatia zote kama unataka kufoji,na kwa kuwa maelfu ya vocha yanakuwa printed,kuna tahadhari kubwa inafanywa ambayo ni sawa na mbinu ya kijeshi,muone kabla hajakuona,ktk mbinu hiyo ndo maana ukijaribu kufoji zaidi ya mara kumi unafungiwa line,kwa nini wanafanya hivyo? ni kwa sababu ukirudia mara nyingi zaidi,mwisho wa siku lazima utapatia tu,that's why kuna restrictions hizo,wabongo mbona mna akili ndogo hivyo? ndo maana mnaendelea kuchagua ccm pamoja na kuwa,ni afadhali ya kinyesi utakigeuza mbolea kuliko ccm ambayo ni mauti ya watanzania,I HATE THESE PEOPLE,wameshatutesa vya kutosha,wakiendelea kuiba kura,option will be military rebelion,KARIBUNI MNING'OE KUCHA,AU MNIUE,TUMESHACHOKA,ukatili wenu ccm ipo siku mtaulipa,time will tell,SIWAPENDI KABISA NYIE WATU.

umeflow vizuri,ila CCM sijui imeingiaje jmn hhahhaha
 
Chukua vocha 17 zilizokwisha tumika kwa kufuatana kaa nazo kisha anza ku-study that pattern ya hizo 14 digits then you will guess the other digits za vocha inayofuata!

why 17 mkuu?...pia hii unaweza fanyia permutation au combinations,how??...
 
And does anybody know ,namna ya kujua hii system mpya ya plate number za magari inaweza accomodate gari ngapi,..am curious..
 
umeflow vizuri,ila CCM sijui imeingiaje jmn hhahhaha

Si unajua tena watu tuna hasira sana na hiki chama,wametuharibia sana nchi yetu nzuri,kwa wasiojua JK aliingia madarakani akiwa na nia nzuri kabisa,lakini washauri wake wamempotosha sana,JK is not as bad as many people speculate!
 
Mmh! ukweli ni kwamba,hakuna teknolojia kubwa sana inayotumika kutengeneza vocha,kinachofanyika ni ku print tarakimu 14 ambazo kwa vyovyote huwezi kuzipatia zote kama unataka kufoji,na kwa kuwa maelfu ya vocha yanakuwa printed,kuna tahadhari kubwa inafanywa ambayo ni sawa na mbinu ya kijeshi,muone kabla hajakuona,ktk mbinu hiyo ndo maana ukijaribu kufoji zaidi ya mara kumi unafungiwa line,kwa nini wanafanya hivyo? ni kwa sababu ukirudia mara nyingi zaidi,mwisho wa siku lazima utapatia tu,that's why kuna restrictions hizo,wabongo mbona mna akili ndogo hivyo? ndo maana mnaendelea kuchagua ccm pamoja na kuwa,ni afadhali ya kinyesi utakigeuza mbolea kuliko ccm ambayo ni mauti ya watanzania,I HATE THESE PEOPLE,wameshatutesa vya kutosha,wakiendelea kuiba kura,option will be military rebelion,KARIBUNI MNING'OE KUCHA,AU MNIUE,TUMESHACHOKA,ukatili wenu ccm ipo siku mtaulipa,time will tell,SIWAPENDI KABISA NYIE WATU.

We jamaa una hasira na CCM,,,,,,,!!
 
Binafsi niliwahi kupatia vocha 2 za tigo (kwa siku tofauti) moja ikaniingizia elfu 2,na nyingine elfu 5,enzi hizo tigo ilikuwa digit 12,na nne za mwanzo kwa bando moja zilikuwa zinafanana,kwa hiyo ilikuwa kucheza na digit 8 tu, na ukiwa na vocha kama 3 hv za bando moja zilizotumika unajua tayari digit 4 za awali, unapatia.

Nadhani ndio maana tigo walibadili huo mfumo wa digit 12, na kuondoa namba 4 za mwanzo kufanana.
 
Hapo ni mwendo wa combination tu kwa mfano kama kuna digiti 14 maana yake ni nini 14! *9!means (14*13*12*11*10... )*(9*8*7*6*...) ndio idadi ya posibility ya kutengeneza namba zisizo fanana hapo kuna posibility kubwa ya kutengeneza namba nyingi zisizo fanana
kwahiyo nakushauri mkuu ni bora ununue vocha uachane na mambo ya kufoji.
 
Chukua vocha 17 zilizokwisha tumika kwa kufuatana kaa nazo kisha anza ku-study that pattern ya hizo 14 digits then you will guess the other digits za vocha inayofuata!

Iyo ni kweli....ukichukua vocha 10 za kwenye serial number zinazofata ni rahisi ku generate next...kwan haijawai kutokea ukanunua vocha na ukiweka unaambiwa imetumika na ww ndo umeikwangua..unadhan nan kaitumia..just do mats..the thing huwez kutengeneza yako..unatumia ambayo imetengenezwa
 
Back
Top Bottom