Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
Mmh! ukweli ni kwamba,hakuna teknolojia kubwa sana inayotumika kutengeneza vocha,kinachofanyika ni ku print tarakimu 14 ambazo kwa vyovyote huwezi kuzipatia zote kama unataka kufoji,na kwa kuwa maelfu ya vocha yanakuwa printed,kuna tahadhari kubwa inafanywa ambayo ni sawa na mbinu ya kijeshi,muone kabla hajakuona,ktk mbinu hiyo ndo maana ukijaribu kufoji zaidi ya mara kumi unafungiwa line,kwa nini wanafanya hivyo? ni kwa sababu ukirudia mara nyingi zaidi,mwisho wa siku lazima utapatia tu,that's why kuna restrictions hizo,wabongo mbona mna akili ndogo hivyo? ndo maana mnaendelea kuchagua ccm pamoja na kuwa,ni afadhali ya kinyesi utakigeuza mbolea kuliko ccm ambayo ni mauti ya watanzania,I HATE THESE PEOPLE,wameshatutesa vya kutosha,wakiendelea kuiba kura,option will be military rebelion,KARIBUNI MNING'OE KUCHA,AU MNIUE,TUMESHACHOKA,ukatili wenu ccm ipo siku mtaulipa,time will tell,SIWAPENDI KABISA NYIE WATU.
Umeanza vizuri hapo mwisho ukatoka nje ya mada.
Hivi wabongo huwa hamjui umuhimu wa kitu kinaitwa conclusion?
Ndio maana mnafeli FORM 4 mnamlaumu Mulugo , wewe bila shaka FORM 4 hii ya waziri mulugo umetoka na Div 5.