BabuMkubwa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 2,417
- 3,590
Kwa karanga za maganda hiyo bei ni kubwaKaranga Shlng 5000?wap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa karanga za maganda hiyo bei ni kubwaKaranga Shlng 5000?wap
Tumeshindwa kuwa na kiwanda cha kuprocess tomato zaidi ya kile cha iringa sembuse cha karanga mkuu?bdw mm sio mzalendo hata!
Na arusha tunacho bana darsh industries Tomato na pilipili.waantengeneza. kama siyo mzalendo utakuwa beberu wewe.
Nitafute tufanye biasharaHii ni kwa wale wanaopenda maisha bora!
Hawa Wakenya jamani mimi kila week nawaona huku..wanakuja na gari wanasomba pumba nyingi kweli kweli...wanapeleka kwao..lakini nimejaribu kuwahoji wanaishia kuniambia endeleeni kulia lia tu[emoji24]...!wanatudharau sn pia ..!
pia wanachukua karanga kwa wingi sana wanaenda nazo Kenya hivi shida yetu ni nini jamani kama nchi?? Moyo unauma ...wapi tunakosea?yaan hapa naandika niko nao hapa wanapakia hii mizigo ...!
Nadhani pumba ni kwaajili ya ceiling board..au kuna mishe nyingine?na hiz karanga ndo wanaongeza thamani au?
Kama vipi tuchangamkie fursa hii jaman..watanzania mliopo kwa "Uhuru" hebu semeni neno basi!..
°Kwenye karanga ndo pamenigusa! That wananunua karanga kwa shilingi 5000 kwa debe ..!ah bwana eh nimechoka mm kwanza!
Nitafute tufanye biashara
TUMESHINDWA TUMESHINDWA TUMESHINDATumeshindwa
Sijafahamu hiyo ya wakenya nachofahamu kuna rafiki yangu hua anafuata pumba laini ya mpunga kutoka mbeya anapeleka Nairobi kwenye viwanda vya chakula ya kuku
bila shaka mkuu unazungumzia REDGOLDNa arusha tunacho bana darsh industries Tomato na pilipili.waantengeneza. kama siyo mzalendo utakuwa beberu wewe.
wewe binafsi pengine na wenzio ni zao gan haswaa umeadd value kama usemavyoWatu mpo busy kumcrush mtoa mada huku mnasahau mantiki ya mada.. Tukubali tukatae wabongo kwenye value addittion kwa bidhaa zetu tupo nyuma sana na hawa wenzetu wanachofanya ni kuja kununua huku vitu raw halafu wanaenda kuongeza thamani then wanafanya export....
Wakenya wametuzidi akili ya kwenye soko.. hilo tukubali na tuanzie hapo japo naona vijana wenzangu baadhi wameanza kuvamia hizo sekta kitu ambacho ni kizuri
Watu mpo busy kumcrush mtoa mada huku mnasahau mantiki ya mada.. Tukubali tukatae wabongo kwenye value addittion kwa bidhaa zetu tupo nyuma sana na hawa wenzetu wanachofanya ni kuja kununua huku vitu raw halafu wanaenda kuongeza thamani then wanafanya export....
Wakenya wametuzidi akili ya kwenye soko.. hilo tukubali na tuanzie hapo japo naona vijana wenzangu baadhi wameanza kuvamia hizo sekta kitu ambacho ni kizuri
My point was ...tunang'ang'ana kwenye biashara zile zile..mara km ni nguo au kilimo wote tunajaa humo tunapelekeshwa na upepo wa kisulisuli .nikasema kwann sisi tumelala tu tunahangaika na mazao yanatustress...! Yaan mtz ndo asombee pumba mkenya azichukue?kwmba sisi tumejitosheleza sn au ni nn?
Kila mtanzania anawaza kuuza duka la nguo au vipodozi, au afungue restaurant au anunue bajaji wakati mkenya na mnyarwanda wanaingia tabora kuchukua asali wanaenda kwao wanaisafisha then wanapack na kwenda kupiga pesa uarabuni hasa saudia na dubai