Jinsi Wakenya wanavyotajirika na pumba za karanga za Tanzania

Yani hadi wizara ituhangaikie kwenye mambo kama haya sisi kazi yetu nini?
Watz wengi ni wavivu hadi fursa tutaftiwe ?
 
Ww umeuelezea huu uzi nilivyotaka watu wanielewe nnamaanish nn..asante sn mkuu...!mi lengo kuu ilikua watz wenye mitaji wachngmkie fursa wapeleleze hii ishu inakuwaje mapema iwezekanavyo..iweje mkenya aje achukue pumba jmn..!
mkuu moshi sehemu gani wanachukulia
 
Karanga kubwa nyekundu maarufu kama karanga ya malawi ambayo inalimwa sana tabora kaliua, ushetu kahama, kakonko kibondo mara nyingi soko lake lipo Rwanda na Uganda,
Mkuu kaliua unapajua
 
Poa poa mkuu ...muhimu ni kujua soko lipoje.!
 
Endelea kulialia mkuu.
 
Wanasema ukitaka pesa tumia pesa..huu msemo umework pia kwangu..ogopa kutafuniwa mkuu ...toka nje zunguka hutarudi bure hata kidg
Kupata taarifa sahihi ni kwa watu kama nyie ambao mupo kweny iuo field ..au japo kidogo munaelewa mchakato upoje ..so kinachoitajika hapa ni muongozo tu mf namna ya kuwapata hao watu, ili iwe rahisi zaid kama na wewe ni muhusika sio mbaya ukasheya unachojua.
 


Ohh mm sipo huko mkuu..niliona nishee ideas..unajua kuna watu ana hela ila hajui aanzie wapi...!
Mcheki arovera naona ana abc za kukfuumbua kbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…