Jinsi wakili msomi Dickson Matata alivyompeleka puta mtoto wa IGP Mahita

Una level gani ya Elimu ?Ulielewa matiki ya like swali?Una hakika Jaji aliruhusu hilo kujibuwa?

Nikusaidie kwakuwa akili yako imemezwa na umalaya wa kisiasa!

"Alikuwa anawaambie Jamhuri Na ndugu yake CCM kuwa Mahita alikuwa hivyo Lakini hakufanikiwa !"Lengo lilikuwa hilo.

Mwisho nakuitia Malaya wa kisiasa wenzako .
USSR Mudawote Wakudadavuwa mama D Iboya2021
 
Matacle ya nguchiro 🤣🤣 yaan ni pini za kudanja raia, lazima uombe poo 😂😂😂😂
 
Reactions: BAK
Ila hukumu ikitolewa tuwe tunashangilia hivi hivi kwa kujikumbusha zaidi naomba mkasome kitabu cha kesi ya uhaini sehemu ya 1&2 jinsi kesi ilivyoendeshwa mpaka hukumu ilivyotolewa
Mungu ni mwema !Tunajua mipango yenu miovu Lakini ,tutamshukuru Mungu Kwa tote.Ata Magufuli alitupora ushindi wetu tukamshukuru Mungu na Mungu akatujibu Kwa njia ya shukrani
 

Mimi sijui sheria lakini na uliza polisi wanapoweka mtego wa kunasa wahalifu kama majambazi ambao hutumia informers wanao kuwa sehemu ya njama za huo ujambazi ili kuzima mpango wao kabla ya kufanya uhalifu. Je hao wenye nia ovu hawawezi kufungwa kwa vile nia yao ya kufanya ujambazi haikufanikiwa? Huo mtego/mbinu ya kipolisi haviwezi kutumika kwenye kuzima nia ya kufanya ugaidi na pengine kati ya makomandoo washitakiwa yuko informer wa polisi, who knows?
 
Havana uwezo Wa kuzuia mitandao ya kijamii ,,HAUWEZI KUZUIA TEKNOLOJIA KWENYE TEKNOLOJIA
 
Bonyokwa pimbi mkubwa. Mambo yetu ya chama yanakuhusu nini??? Tumuache Mama afanye kazi! Mbowe alitumiwa na mabeberu yakimdanganya alete fujo nchi isitawalike waje wachote mali zetu. Rostm mjanja na lema kala kona.
 
do you know the aim of cross examination...U have to shake credibility of the witness na unaruhusiw hat kumuuliz maswal amby una shake temper yake.sion kama wakil amekosea coz pia amemp similar precedent kama ya babake alivyowafanyia CUF
 


Kumbe Malaya wenzio wa siasa huwajui kumbe!? Wale waliojiuza kwa Lowasa 2015 wakajiuza kwa kina amstadamu 2020 ndio malaya Anatomist, sawa eeeh?

Halafu usiwe unanitag ujinga
 
Huyu shahidi Mahita ameuza kesi, maelezo take yanaonyesha kila alilo fanya alipewa maelezo toka juu na hakufanya kulingana na taratibu za kipolisi.
 
do you know the aim of cross examination...U have to shake credibility of the witness na unaruhusiw hat kumuuliz maswal amby una shake temper yake.sion kama wakil amekosea coz pia amemp similar precedent kama ya babake alivyowafanyia CUF
Una shake credibility kwa relevant questions sio saa nzima unauliza habari za baba yake sijui alikuwa ajp sijui visu hovyo kabisa huyu wakili sijui kasoma chuo gani wakati anajua kabisa sheria ya ushahidi inakata maswali ya hovyo kama haya halafu limtu linafungua uzi etu maswali ya wakili msomi
 
Bila shaka utakuwa ngosha mzoga wenu unatoa wadudu kule chato

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli usemayo ila kimsingi naona kuna tuhuma za kupigwa lakin zaidi naona serikali ilishawin kuwatoa watu kwenye harakati za katiba mpya sasa hivi watu wote kwenye kesi ya mbowe
 
Mambo ya ajabu kweli wakili wa utetezi anasema makomandoo ni watu hatari lakini mahakamani hawataki polisi wengi na ullnzi uimarishwe. Siku hao makomando wakichafukwa na nyoyo hapo mahakamani tutasimuliana ya Hamza tena.
Uzuri watalengwa mapolisi na MaCCM tu
 
Hivi wanaushaidi gani kuwa watuhumiwa ni makomandoo, ukishamjua mharifu ni komando una muarrest kwa umakini wote
 

Kwakweli hatuna polisi nchi hii, hivi kwanini central isihamie Mbweni kama ndiko kwenye usalama zaidi?🤣🤣
 
Kesi za namna hii ni shule (fundisho) tosha.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…