Jinsi wakili msomi Dickson Matata alivyompeleka puta mtoto wa IGP Mahita

Jinsi wakili msomi Dickson Matata alivyompeleka puta mtoto wa IGP Mahita

Je, Unajua ya kwamba magaidi ambao ni makomandoo wanaweza kuwa na mtandao mkubwa sana?? Ni salama kiasi gani kwenda kunywa supu bar na magaidi? Je ni sahihi kuwa wangekua magaidi kwenda nao bar kungeweza kuleta fujo ikiwa ni magaidi??
 
Hapa ndo kwa watu makini, unamaliza kesi na nawe kazi huna au unafungwa kwa uzembe. Unahatarisha usalama wako, nchi na jamii kwa ujumla wakati wa utendaji wako wa kazi:

1: Unakamata gaidi unaenda kuzurula naye kwenye vituo anavyokutajia?
3: Unaenda kushinda naye kwenye kituo cha basi?
4: Unaenda kunywa supu naye?
5: Unaenda naye mkoa mmoja mpaka mwingine kwa dada yake?
 
Kuna moja ile Kibatala alisema inashangaza kuwa na mtu ambaye amekuja hajui hata kaja kufanya nini,Wakili wa Serikali akasema objection kauli inadhalilisha utu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kweli kesi hii ya kubambika imekuwa mnara wa Babeli lugha zimechanganyana. Mungu anawaumbua waongo.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Eti mnara wa Babeli dah nimecheka . Hawakujipanga acha wavurugane tu
 
Je, Unajua ya kwamba magaidi ambao ni makomandoo wanaweza kuwa na mtandao mkubwa sana?? Ni salama kiasi gani kwenda kunywa supu bar na magaidi? Je ni sahihi kuwa wangekua magaidi kwenda nao bar kungeweza kuleta fujo ikiwa ni magaidi??
Cha kushangaza zaidi magaidi makomandoo waliweza kulala central police ya moshi mjini ambapo hakuna ulinzi wa maana kwa siku mbili ila walihofiwa kulala central police ya Dar ambayo ina ulinzi mkali mara 5 zaidi ya central police ya moshi.
 
Maswali yote ya huyu wakili ni ya kijinga kabisa tena yamepitwa na wakati na ni irrelevant kabisa hayana uhusiano wowote na fact in issue na sijajua ni kwa nini jaji alikuwa anaruhusu maswali utopolo baba wa shahidi ana uhusiano gani na ushahidi? Haya ma cross examinations wanajaza tuu fail la mahakama mapumba matupu.
 
Hii kesi inatupa funzo kubwa sana Watanzania hasa wakati huu wa mitandao ya kijamii....huko mbele tunakoendea serikali itakuwa inaumbuka kila siku na mbaya zaidi watu wanapata habari kama zilivyo bila kuchakachuliwa.

Serikali ikitaka kudhibiti mitandao ya kijamii wazime tu internet... Kinyume na hapo watapata tabu sana.

Halafu mtu unajiuliza...Hivi polisi walitoa wapi huruma ya kumnunulia mtuhumiwa wa ugaidi tena Komandoo supu na Mo energy?
Ni nyama choma mkuu sio supu!
 
Back
Top Bottom