ivanmark714
Member
- Jul 13, 2019
- 67
- 110
Baadhi yetu tunasoma ili tumalize kisha tutoe ujuzi wetu wa kuponda uwandishi lakini kama unasoma kuelewa sidhani kama utakuwa na muda wa kuongelea paragraph kwa uhalisia alioutoa mtoa mada asanteni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sanaBaadhi yetu tunasoma ili tumalize kisha tutoe ujuzi wetu wa kuponda uwandishi lakini kama unasoma kuelewa sidhani kama utakuwa na muda wa kuongelea paragraph kwa uhalisia alioutoa mtoa mada asanteni
Nani kakuambia mtoa mada ni Samson? Upo timamu kweli?Umeandika vyote ila umesahau watu kama samson na maguvu yake alihingizwa mkenge kuishi na mwanamke unabidi uwe na akili kama ya jasusi la sivyo unaweza kujikuta unaendeshwa bila wewe kugunduahuku ukiwa na mimali yako
Mkuu angalia sana unaonekana una anxiety na depressionNani kakuambia mtoa mada ni Samson? Upo timamu kweli?