Jinsi Wanawake wanavyowafanya Wanaume kuwa dhaifu

Baadhi yetu tunasoma ili tumalize kisha tutoe ujuzi wetu wa kuponda uwandishi lakini kama unasoma kuelewa sidhani kama utakuwa na muda wa kuongelea paragraph kwa uhalisia alioutoa mtoa mada asanteni
 
Asante sana
 
Umeandika vyote ila umesahau watu kama samson na maguvu yake alihingizwa mkenge kuishi na mwanamke unabidi uwe na akili kama ya jasusi la sivyo unaweza kujikuta unaendeshwa bila wewe kugunduahuku ukiwa na mimali yako
Nani kakuambia mtoa mada ni Samson? Upo timamu kweli?
 
Back
Top Bottom