Hakuna ready-made woman au ready- man
Hizo tabia sijui vitu gani ni vigezo Tu ambavyo sio wanaume wengi tunafata
Mwanamke anabadilishwa na kuwa wife material, hata mwanaume anaweza kubadilishwa na mwanamke wake akawa husband
I know someone ambae amemuoa changudoa ambae alimnunua buguruni but kambadilisha na sasa ni bonge la wife
Ishu ya mwanamke kuomba ela it's big deal because mpaka mwanaume anakutongoza anajua gharama zako zitakuwa ni sh ngapi
Na mpaka anakufata means anajua anakumudu vizuri Tu
But ishu ni ela unaombaje?
Hata wewe mwanamke unajua kabisa huyu jamaa anataka sex but nikikwambia Tu straight let's go and
JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala I'm very sure uwezi kwenda kufanya