Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Faiza foxy kahangaika weee !!!! anakuja kuchukuliwa Jokate muuza rasta !Wanaotoswa ndiyo wasaliti maana wamesaliti wanainchi wakamsapoti.. Nanilii
Faiza foxy kahangaika weee !!!! anakuja kuchukuliwa Jokate muuza rasta !
tatizo hakujitolea vyoteDah!!
na hasa ukiondoka ukaenda chadema.Hapa dawa ni kuondoka kwanza kisha baadae unarudi dramatically. Hapo lazima uukwae ukuu
Kuhusu Wasaliti Waitara na Kalanga kuwa wagombea pekee wafia chama waendelea kudhalilishwa ! VUTA NKUVUTE ANATOKWA POVU NI BALAA ! Hii ndio ccm mpya .
Hatukosei mkuuUko sahihi
polisi hawapo?Makubaliano yalikuwa hayo , lakini ataangukia pua tu .
malipo yao ya kawaida ya B7 wanapata,wanakitumikia chama upande huo.CCM haijawahi kuwa na rafiki .
Tumefurahi sana maana tumepata vichwa, huku kwetu tulipungukiwa sana, kwa hiyo hatujisikii vibaya.
Kwani mlijisikiaje lowassa alivyokuja kugombea urais?Wana JF
Sipati picha, wanachama wa CCM wananuna mtaani balaa, kati ya vitu ambavyo vimewakera ni pamoja na kwenda kinyume na katiba ya chama ambayo inasema kila mwanachama anayejiunga na chama cha mapinduzi lazima awe amekaa kwa kipindi flan ndipo atagombe kwenye nafasi za uongozi. Tunacho shuhudia hapa ni kuona walio kihama chama ndio wanao rudishwa kwenye maeneo yale yale, mpaka sasa wanachama wa ccm wanataka kupasuka maana wapo waliokuwa wanamendea hizo nafasi lakini hawawezi kupata tena, sasa ni dhahiri kuwa uchaguzi wa madiwani, wenyeviti na wabunge ndani ya chama kabla ya kuwasilisha tume ya uchaguzi utakuwa ni wa maamuzi na matakwa ya viongozi kwa kuamua nani atakae pewa au kuhidhinishwa agombee.