Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #161
Ndio akaamua kununuliwa ?Hata Dr. Slaa ilimuuma sana lowasa alivyopewa nafasi ya kugombea bure bure wakati waliosotea chama wapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio akaamua kununuliwa ?Hata Dr. Slaa ilimuuma sana lowasa alivyopewa nafasi ya kugombea bure bure wakati waliosotea chama wapo.
Nani hao waliotangulia kufanya hivyo?Kwa kufanya hayo unadhani anafanikiwa au anachemka?. Waliotangulia kufanya hayo walishindwa kufanikiwa yy ataweza?.
Marais waliomtanguliaNani hao waliotangulia kufanya hivyo?
Ni raisi wa awamu gani aliewaingiza wapinzani serikalini na akashindwa vipi?Marais waliomtangulia
Mkuu ile nafasi aliyepewa lowasa ndani ya CHADEMA ni nafasi adhimu mno!Hivi ni akili gani imetumika hapa? CHADEMA kuna mnofu gani ukilinganisha na mnofu unaotajwa na mtoa ndani ya ccm? Halafu tunambiwa tanzania ya viwanda yaja! Hivyo viwanda viendeshwe na akili hii?
Walionunuliwa ndio wale waliobadilika ghafla na kumpokea fisadi akapewa nafasi ya kugombea bila kushinda nishwaNdio akaamua kununuliwa ?
Walionunuliwa ni wale waliogeuka ghafla wakalipokea fisadi na kulipa nafasi ya kugombea tena bila kushindanishwa na mtu. Pale ndio tulijua rupia ina nguvu. Mtu waliyemtangaza fisadi kwa miaka 8 akapambwa ghafla kuwa Malaika. Wonders shall never end!Ndio akaamua kununuliwa ?
Inasikitisha sana !Kuna tetesi hawa waliohamia CCM kutoka upinzani watapata nafasi za serikali siku sio nyingi, na kuwaacha wanaccm wakongwe na ambao hawajawahi kuhangaika na ma vyama mengine..
Kweli fikiria hili swala mara mbili,
Mkuu ile nafasi aliyepewa lowasa ndani ya CHADEMA ni nafasi adhimu mno!
Chukulia mfano angeshinda uchaguzi wa mwaka 2015.
Ubovu nyinyi huwa hamtaki kusikia kitu kinachoitwa ukweli!
Sahihi mkuu, hata mimi binafsi naumia nakumbuka huyu polepole kwenye katiba mpya alitutesa sana akawa anasema mwaka 2015 msiipe ccm kura lkn leo ndo anafanya mapendekezo ndani ya ccm nakusema kijana flani hafai, na analipiza sana kisasi wale wote waliompinga mwaka 2014 leo anapambana majina yao yasipite kwenye chaguzi loo!! Kweli ccm imevamiwaHili liwe angalizo kwa vijana wa CCM wanaokesha mitandaoni kutetea wanachokiita chama chao, lakini kumbe chama kina wenyewe.
Sasa ni dhahiri kwamba watu ambao kwa miaka mingi wameiponda CCM hadharani na gizani ndio wanaoteuliwa kushika vyeo ndani ya serikali, huku wanaojiita wafia chama wakipuuzwa na kuonekana vilaza.
Juliana Shonza, Kitilla Mkumbo, Augustino Mrema , Anna Mughwira, Mtella Mwampamba, Humphrey Polepole ni baadhi ya majina machache tu ya walioiponda ccm kwa miaka mingi, lakini wakaonekana lulu baada ya kusaliti walikotoka.
Ndugu yangu unayejifanya CCM ni yako kiasi cha kutetea hata maovu, huu ni wakati wa kujitafakari nafasi yako ndani ya CCM , The time is now.
Majuto ni mjukuu.
Kuna taarifa Katambi si muda mrefu anapewa UDC sie bado tuko Bench loo!! Mungu niokoeMuda si mrefu wakina Mwigamba nao watakuwa ndani ya V8 wakipulizwa ubaridi wa Kizungu.
Poleni sana , hebu angalia baraza la mawaziri limejaa waliokuwa kimya , wasaliti wengi wameulaKuna taarifa Katambi si muda mrefu anapewa UDC sie bado tuko Bench loo!! Mungu niokoe
Acha uongo wewe hakuna jambo unalofanya mwanadamu bila kutegemea Mavuno, hata wachungaji hula sadakaAchana na ramli chonganishi.
Mwana ccm kindaki ndaki kama mie siwezi kuwaza cheo hata siku moja,kazi yangu ni kupigania chama.
Mambo ya kupigania chama huku ukiwaza cheo waachie kina Nape
mmmmh kuna kaukweli flani hiviHili liwe angalizo kwa vijana wa CCM wanaokesha mitandaoni kutetea wanachokiita chama chao, lakini kumbe chama kina wenyewe.
Sasa ni dhahiri kwamba watu ambao kwa miaka mingi wameiponda CCM hadharani na gizani ndio wanaoteuliwa kushika vyeo ndani ya serikali, huku wanaojiita wafia chama wakipuuzwa na kuonekana vilaza.
Juliana Shonza, Kitilla Mkumbo, Augustino Mrema , Anna Mughwira, Mtella Mwampamba, Humphrey Polepole ni baadhi ya majina machache tu ya walioiponda ccm kwa miaka mingi, lakini wakaonekana lulu baada ya kusaliti walikotoka.
Ndugu yangu unayejifanya CCM ni yako kiasi cha kutetea hata maovu, huu ni wakati wa kujitafakari nafasi yako ndani ya CCM , The time is now.
Majuto ni mjukuu.
Hili liwe angalizo kwa vijana wa CCM wanaokesha mitandaoni kutetea wanachokiita chama chao, lakini kumbe chama kina wenyewe.
Sasa ni dhahiri kwamba watu ambao kwa miaka mingi wameiponda CCM hadharani na gizani ndio wanaoteuliwa kushika vyeo ndani ya serikali, huku wanaojiita wafia chama wakipuuzwa na kuonekana vilaza.
Juliana Shonza, Kitilla Mkumbo, Augustino Mrema , Anna Mughwira, Mtella Mwampamba, Humphrey Polepole ni baadhi ya majina machache tu ya walioiponda ccm kwa miaka mingi, lakini wakaonekana lulu baada ya kusaliti walikotoka.
Ndugu yangu unayejifanya CCM ni yako kiasi cha kutetea hata maovu, huu ni wakati wa kujitafakari nafasi yako ndani ya CCM , The time is now.
Majuto ni mjukuu.
Well saidmmmh!
Lakini si hata CDM nako EDO alipata nafasi ya kugombea u presidia matokeo yake Slaa akatoswa?
Au hata hiyo nafasi ya Sumaye Pwani kwani hakuna watu wa CDM waliokitumikia muda mrefu wangefaa?
Kwenye hii parable ya prodigal son, ukiiangalia kwa upande mwingine!Na hii si kwa CCM tu, bali hata kwenye biblia kuna hadithi moja inayotoa mfano unaofanana na hali hii. hadithi ya mwana mpotevu "Luke 15:11–32" inaonesha mtu anayetubu na kurudi kwa baba anakuwa- rewarded. Kwa watiifu tusiwe na wasi wasi kwani reward yetu ipo mbinguni
The Parable of the Prodigal Son
11 And he said, “There was a man who had two sons. 12 And the younger of them said to his father, ‘Father, give me the share of property that is coming to me.’ And he divided his property between them. 13 Not many days later, the younger son gathered all he had and took a journey into a far country, and there he squandered his property in reckless living. 14 And when he had spent everything, a severe famine arose in that country, and he began to be in need. 15 So he went and hired himself out toa]">[a] one of the citizens of that country, who sent him into his fields to feed pigs. 16 And he was longing to be fed with the pods that the pigs ate, and no one gave him anything.
17 “But when he came to himself, he said, ‘How many of my father's hired servants have more than enough bread, but I perish here with hunger! 18 I will arise and go to my father, and I will say to him, “Father, I have sinned against heaven and before you. 19 I am no longer worthy to be called your son. Treat me as one of your hired servants.”’ 20 And he arose and came to his father. But while he was still a long way off, his father saw him and felt compassion, and ran and embraced him and kissed him. 21 And the son said to him, ‘Father, I have sinned against heaven and before you. I am no longer worthy to be called your son.’b]">[b] 22 But the father said to his servants,c]">[c] ‘Bring quickly the best robe, and put it on him, and put a ring on his hand, and shoes on his feet. 23 And bring the fattened calf and kill it, and let us eat and celebrate. 24 For this my son was dead, and is alive again; he was lost, and is found.’ And they began to celebrate.
25 “Now his older son was in the field, and as he came and drew near to the house, he heard music and dancing. 26 And he called one of the servants and asked what these things meant. 27 And he said to him, ‘Your brother has come, and your father has killed the fattened calf, because he has received him back safe and sound.’ 28 But he was angry and refused to go in. His father came out and entreated him, 29 but he answered his father, ‘Look, these many years I have served you, and I never disobeyed your command, yet you never gave me a young goat, that I might celebrate with my friends. 30 But when this son of yours came, who has devoured your property with prostitutes, you killed the fattened calf for him!’ 31 And he said to him, ‘Son, you are always with me, and all that is mine is yours. 32 It was fitting to celebrate and be glad, for this your brother was dead, and is alive; he was lost, and is found.’”
Ni kweli kabisa!Hata hiyo Chadema ina wenyewe wameinunua kama kanga na sasa wanaitumia, Lowassa alipataje ile nafasi hivi alaf na lile kubwa la wajinga( Sumayee) nae alipataje nafasi Pwani, vp yule Mwenezi na Itikadi daah