Jinsi "wasaliti " wanavyoula CCM, huku wafia chama wakitoswa

Hiyo ni fallacy,
Kuwa ccm siyo wote wanaota hizo ndoto zako,
Kwamba waende wapi kama unataka wajitafakari,
Huko chadema kuna nini cha ajabu ambacho MTU anaweza jivunia zaidi ya kusubiri jambo lifanywe ndo muanze hoja...
Kaa kwa kitulia, vimba upasuke.
 
Sasa Pascal Mayalla na Lijuakali nani ameitetea ccm
RBC nakukumbusha kuwa tusisahau pia nafasi za uDC ni kwa ajili ya siasa....ikumbukwe DC ni mjumbe wa kamati ya siasa wilaya....kwa kipindi hiki anachomalizia mh.Rais SSH anakwenda pia kujiimarisha kisiasa....ni lazima awe na watu anaoona watamfaa kwa KIPINDI HICHO.....

Tusisahau teuzi hizi pia ni kwa ajili ya "nyakati" na "majira".....

Ninakumbuka watu Kama akina Hassan Ngoma walianza kuwa maDAS....leo ni DC....so na wengine pia ninaamini wataanzia HAPO kabla ya kupanda juu baada ya UCHAGUZI WA 2025 panapo afya na uhai aaaamin aaaamin!!

#KaziInaendelea
 
sasa watoa mapovu wa uvccm na mataga mnawaweka wapi jamani ?
 
Mtakoma nyie nyumbu wenye roho mbaya za utabili wa kuombea watu mabaya,
mlimtabilia mabaya Lijualikali kuwa atateseka sasa muanze kumuheshimu, na mjue tabili zenu hazina malipo kwa mungu.
Kijana wetu huyo tumemlea wenyewe

BAVICHA_&_CHASO_on_Instagram:_“Enzi_hizo_Lijuakali_hapajui_mjini._%0A%0ALeo_anamtukana_Mwe...jpg
 
Back
Top Bottom