Jinsi "wasaliti " wanavyoula CCM, huku wafia chama wakitoswa

Tena Magufuli kamjibu kwa kujiamini kuwa CCM damu hamna kitu ndio maanake anatafuta usajili kutoka Vyama pinzani.
Magufuli sio CCM ile tulioizoea,wala hana lugha ya kubembeleza hata kidogo.
Pia yaonekana anajipanga kusajiri hata daraja la pili na la tatu kuliko kuchukuwa CCM damu damu.
Hao Damu Damu ni Wezi Sana
Hatuna mpango nao wameibia chama sanaa
Unakumbuka Mali za chama walivo kuwa wamejimilikisha wapumbavu hao
Bora wapinzani kuliko hao Wezi
 
Kikubwa uwe mchapakazi na muadilifu tu..wewe kuwa CCM hakukupi uhakika wa uteuzi. Yeyote anateuliwa ili mradi ni raia wa Tz. Huo uchama anapewa asubuhi mchana uteuzi.
 
Utabil wangu. Kuna kila dalili hapo baada ya mh Mkuu kabisa kumalizia kipindi chake,ndio utakuwa mwisho wa Ccm,kwa maana wahamiaji ambao wana chembe chembe pinzani ndio watakuwa Na nguvu chamani Na hao ndio watakaokivunja hicho chama (natamani nione hicho kipindi kwaaana mpaka sasa Nina miaka 95)
 
Tena Magufuli kamjibu kwa kujiamini kuwa CCM damu hamna kitu ndio maanake anatafuta usajili kutoka Vyama pinzani.
Magufuli sio CCM ile tulioizoea,wala hana lugha ya kubembeleza hata kidogo.
Pia yaonekana anajipanga kusajiri hata daraja la pili na la tatu kuliko kuchukuwa CCM damu damu.
Ohoooooo !!!
 
1594583912269.png
 
Utabil wangu. Kuna kila dalili hapo baada ya mh Mkuu kabisa kumalizia kipindi chake,ndio utakuwa mwisho wa Ccm,kwa maana wahamiaji ambao wana chembe chembe pinzani ndio watakuwa Na nguvu chamani Na hao ndio watakaokivunja hicho chama (natamani nione hicho kipindi kwaaana mpaka sasa Nina miaka 95)

Mkuu, unahisi hao wahamiaji wanapeperusha bendera ya bandia kwa sasa?
 
Tunawakumbusha wenye njaa kali .
Sijui tathmini yako umeifanya kwa data zipi ila kwa takwimu halisi ni kuwa bado wanaoteuliwa kama ma DAS, RAS, DED, ma RC, DC, wakuu wa bodi mbalimbali za mashirika na taasisi za umma bado wengi na wana ccm sasa hao wachache wanaopewa shavu wakitokea upinzani ni sehem ndogo sana
 
Malalamiko yanaletwa na wanaccm wenyewe
 
Ccm wapo programmed kwamba chochote atakachosema magufuli ndio the right thing na kama ukipinga ni tatizo na wengi wao wamempatia sana sababu anapenda sifa kazi yao ni kumsifia mwanzo mwishoo na wanafanikiwa sabavu wanapata nafasi
 
Back
Top Bottom