Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #321
๐๐๐Ndio mana badae wakastukiwa eakimbia wenyewe kwahiyo na nyinyi mnakumbushwa mstuke mapema
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐Ndio mana badae wakastukiwa eakimbia wenyewe kwahiyo na nyinyi mnakumbushwa mstuke mapema
Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry hv kabla ya kuteuliwa naibu wazir shonza alikuawap vile ??Hili liwe angalizo kwa vijana wa CCM wanaokesha mitandaoni kutetea wanachokiita chama chao, lakini kumbe chama kina wenyewe.
Sasa ni dhahiri kwamba watu ambao kwa miaka mingi wameiponda CCM hadharani na gizani ndio wanaoteuliwa kushika vyeo ndani ya serikali, huku wanaojiita wafia chama wakipuuzwa na kuonekana vilaza.
Juliana Shonza, Kitilla Mkumbo, Augustino Mrema , Anna Mughwira, Julius Mtatiro , Mtella Mwampamba, Humphrey Polepole , Wilbrod Slaa , Ibrahim Lipumba ni baadhi ya majina machache tu ya walioiponda ccm kwa miaka mingi, lakini wakaonekana lulu baada ya kusaliti walikotoka.
Ndugu yangu unayejifanya CCM ni yako kiasi cha kutetea hata maovu, huu ni wakati wa kujitafakari nafasi yako ndani ya CCM , The time is now.
Majuto ni mjukuu.
Alikuwa BavichaSorry hv kabla ya kuteuliwa naibu wazir shonza alikuawap vile ??
Its not over until its over...[emoji769]
Shukran mana nilikuwa cjawah kumsikia apo kablaAlikuwa Bavicha
ENDELEA KUTUPA UPDATES MKUU.Hili liwe angalizo kwa vijana wa CCM wanaokesha mitandaoni kutetea wanachokiita chama chao, lakini kumbe chama kina wenyewe.
Sasa ni dhahiri kwamba watu ambao kwa miaka mingi wameiponda CCM hadharani na gizani ndio wanaoteuliwa kushika vyeo ndani ya serikali, huku wanaojiita wafia chama wakipuuzwa na kuonekana vilaza.
Juliana Shonza, Kitilla Mkumbo, Augustino Mrema , Anna Mughwira, Julius Mtatiro , Mtella Mwampamba, Humphrey Polepole , Wilbrod Slaa , Ibrahim Lipumba ni baadhi ya majina machache tu ya walioiponda ccm kwa miaka mingi, lakini wakaonekana lulu baada ya kusaliti walikotoka.
Ndugu yangu unayejifanya CCM ni yako kiasi cha kutetea hata maovu, huu ni wakati wa kujitafakari nafasi yako ndani ya CCM , The time is now.
Majuto ni mjukuu.
Hili liwe angalizo kwa vijana wa CCM wanaokesha mitandaoni kutetea wanachokiita chama chao, lakini kumbe chama kina wenyewe.
Sasa ni dhahiri kwamba watu ambao kwa miaka mingi wameiponda CCM hadharani na gizani ndio wanaoteuliwa kushika vyeo ndani ya serikali, huku wanaojiita wafia chama wakipuuzwa na kuonekana vilaza.
Juliana Shonza, Kitilla Mkumbo, Augustino Mrema , Anna Mughwira, Julius Mtatiro , Mtella Mwampamba, Humphrey Polepole , Wilbrod Slaa , Ibrahim Lipumba ni baadhi ya majina machache tu ya walioiponda ccm kwa miaka mingi, lakini wakaonekana lulu baada ya kusaliti walikotoka.
Ndugu yangu unayejifanya CCM ni yako kiasi cha kutetea hata maovu, huu ni wakati wa kujitafakari nafasi yako ndani ya CCM , The time is now.
Majuto ni mjukuu.
Au Benard MembeHuu ni kati ya mifano hai kabisa .
๐๐๐Kiukweli ukiwa mpinzani thamani yako kubwa sana hata kama utateswa na polisi dpp haijalishi hebu tazama wakati wa kampeni vijana wa ccm wanavyobebwa na Malori kama vile Isuzu, Fuso, tipper, Jeifongo (Jiefang), utadhani viazi mvingo vya iringa na mikungu ya ndizi ya bukoba.
Lakini ikitokea mpinzani akahamia huko utasikia kalipiwa na nauli ya ndege mara kikao Kempisk, utasikia kapewa mamilion kadhaa na akati kijana wa ccm pamoja na kubarikiwa matusi makubwa ya kutukana upinzani anaambulia buku 7 na vyeo kama ukuu wa wilaya, mkoa n.k. wanapewa watoto wa wenye ccm au anapewa mpinzani kulingana na M/kiti hiyo siku ameamkaje.
๐๐๐๐Kiukweli ukiwa mpinzani thamani yako kubwa sana hata kama utateswa na polisi dpp haijalishi hebu tazama wakati wa kampeni vijana wa ccm wanavyobebwa na Malori kama vile Isuzu, Fuso, tipper, Jeifongo (Jiefang), utadhani viazi mvingo vya iringa na mikungu ya ndizi ya bukoba.
Lakini ikitokea mpinzani akahamia huko utasikia kalipiwa na nauli ya ndege mara kikao Kempisk, utasikia kapewa mamilion kadhaa na akati kijana wa ccm pamoja na kubarikiwa matusi makubwa ya kutukana upinzani anaambulia buku 7 na vyeo kama ukuu wa wilaya, mkoa n.k. wanapewa watoto wa wenye ccm au anapewa mpinzani kulingana na M/kiti hiyo siku ameamkaje.
POLE ndugu;Peleka uchawi wako huko kwenu chadema, hao wote uliowataja ni watanzania na vyama ni mali ya watanzania, kuna watu hukerwa na mtu kwenye chama na sio chama kama taasisi,
Lengo la chama kama CCM ni kuleta maendeleo kwenye nchi na sio kwa wafuasi wake,
Kama chadema lengo lenu ni kutoa ajira kwa wafuasi wenu basi bakini huko, ila ipo siku hata pesa ya kuweka bando mtakosa.
Sisi wafusi wa CCM sio kutaka ajira ila tunafulahi pale maendeleo ya nchi yanafanyika na ndio fulaha yetu.
Hata kesho akija mpenda ushoga Lisu akatubu,
Atapewa nafasi akiwa under control kwa mda wa kutosha ili aaminike.
Kwa wenye chuki bakini huko chadema ili mfe na sumu za kichawi moyoni kwenu.
๐๐๐๐POLE ndugu;
Yule mwenzenu Mjumbe kutoka Songwe aliyoyaongea ndani ya NEC yako tofauti kabisa na porojo zako.
Wenzio wamechoka kuwa wa bk 7, wakati wahamiaji Lijualikali na Nassari wana uhakika kuwa wakikosa nafasi ya ugombea watapata uteuzi au vyote.
Hata ukuijifanya unaficha machozi ili upendwe, lakini BADO kama wanavyofokafoka katika manyimbo ya siku hizi; '............. hujui ukamugonge nani ?...........'. AMEN
POLE ndugu;

Au Bulaya kuwa Mnadhimu mkuu Bungenimmmh!
Lakini si hata CDM nako EDO alipata nafasi ya kugombea u presidia matokeo yake Slaa akatoswa?
Au hata hiyo nafasi ya Sumaye Pwani kwani hakuna watu wa CDM waliokitumikia muda mrefu wangefaa?
Tena Magufuli kamjibu kwa kujiamini kuwa CCM damu hamna kitu ndio maanake anatafuta usajili kutoka Vyama pinzani.POLE ndugu;