Jinsi "wasaliti " wanavyoula CCM, huku wafia chama wakitoswa

makada wengi wa ccm vyeo vya t-shirt, kofia na viberiti ndiyo size yao nafasi za uongozi wanasubiriwa wapinzani wahamie ndo wapewe hii inadhirisha vijana wengi wa ccm kuongoza hawawezi kwani haiwezekani wageni wachukue vyeo tena vikubwa na wao wapo kimya hadi leo
 
Hata ungekuwa wewe ungewapa vyeo hawa ?
 
Peleka hoja za kipuuzi huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu ni simpo, "wamenunuliwa" na mojawapo ya terms ni kuwa watateuliwa tena kwa wadhifa ule ule! Wangekuwa hawapitishwi kugombea tena wala nisingeshawishika kusema wananunuliwa. Kama sio manunuzi ni nini?
 
Sio kila mpigania chama anatafuta cheo. Hivi wewe unae kesha humu jf kupigania chadema na wewe unasubiri cheo huko?
 
Unamaanisha kuwa wana CCM wote walipaswa kuwa viongozi?? Nafasi zipo ngapi?? Nchi ya Tanzania ni ya watanzania bila kujali itikadi zao za siasa, dini, kabila nk

Chadema msimpangie rais wetu kikosi kazi!!!
 
Wasaliti wanaendelea kutesa huku akina Magonjwa Mtambuka wakiendelea kupigishwa deki chooni !
 
karibu vyama vyote wavuja jasho hawafaidiki na matunda ila wakuja wanafaidi
 
Maneno yako yametimia mkuu inabidi tukuite mtabiri maana leo hii tena Mtatiro kesha pewa eneo lake la kujidai
 
mmmh!
Lakini si hata CDM nako EDO alipata nafasi ya kugombea u presidia matokeo yake Slaa akatoswa?
Au hata hiyo nafasi ya Sumaye Pwani kwani hakuna watu wa CDM waliokitumikia muda mrefu wangefaa?
Yote kheri maana hakuna geni chini ya jua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…