Jinsi watu wa mikoani tunavyofanyiwa tunapoagiza bidhaa toka kwa watu wa Dar es Salaam

Niliwahi nunua laptop kwa njia hiyo huko dar nikatuma cash kwa mhusika, akanitumia mzigo vizuri tu.

Mara ya pili niko dar nikampigia simu ili aniuzie laptop nyingine, akaniambia njoo unikute sehemu x ndipo mzigo ulipo.

Baada ya kufika kwake, swali la kwanza aliloniuliza lilikuwa, " ULIPATA WAPI UJASIRI WA KUNITUMIA FEDHA ZOTE ZILE KIPINDI KILE WAKATI HAUNIFAHAMU?.

Nilishikwa na bumbuwazi kidogo, baada ya hapo tukafanya biashara nikanunua mzigo nikaondoka, lakini tangu kipindi hicho sijawahi fikiri kufanya biashara kichaa tena ya kuagiza mzigo kwa mtu asiyejulikana.
 
Daaa mzee hatari sana.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Back
Top Bottom