Jinsi watu wanavyoibiwa wapenzi kwa kuchati tu

umeeleweka na watupe pesa pia
Miss chagga ww na pesa mmh! Nahisi mmeo akifulia unaweza kumkimbia maana nimefuatilia thread zako nyingi unaonekana pesa kwanz kuzid hata utu, sorry kama nimekuudhi ila ni mtizamo wangu
 
Miss chagga ww na pesa mmh! Nahisi mmeo akifulia unaweza kumkimbia maana nimefuatilia thread zako nyingi unaonekana pesa kwanz kuzid hata utu, sorry kama nimekuudhi ila ni mtizamo wangu
Napenda pesa jamani
 
Mapenzi hayana fomula...ila yanaongozwa na pesa..
 
Aisee siwezi chati na mwanamke hivyo ..labda kama ndio enzi nilikuwa na balehe ...Mwanamke yoyote smart huwezi mpata kwa maneno hayo eti "uzuri wako kwangu ni dawa tosha "
 
Chart=chat
 
Japo mm cna ishu za kubembeleza sana na kusifia niwapo kwenye love affairs lakini neno "oya" kwa kweli cwez litumia kabisa.
 
Unapaswa kuwa kwenye chama chetu kilee.
 
Duh, bora umewah kunpa ushauri mana ndyo tabia yang iyo nnapochat nnapochat na shemelaa wko. Asante sana kwa ushauri mdau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…