Kuna watu bhana, ni wabahahili,wanaotafuta kupiga hatua na sio kwamba hela hawana ila waanazo,but ni wabahili wa kutaka kufanya maendeleo hao VIP ni real men au sio real men
DuuuuuuuhUnazunguuuuuka....wakati unaweza tuma meseji moja tu ikakutambulisha we ni nani, upo wapi, unahitaji nini. Tena ukivizia sikukuu huyo mrembo amekwisha
"Hello miss, uko poa vipi maandalizi ya sikukuu....nmekuandalia japo visenti upate wyne sasa utapataje"
Sie wapenda hela lazma vinyweleo visimame, halafu hivo visenti viwe kuanzia laki koh koh sijui nimtag kaka mwenye hii technique!!!
Hey ladies vikware vitacopy vije kuapply msivipe namba havina kitu vimebeba pmb tu.
Wall nzima imejaa mambo, sijui mzima, nambie, hujambo.
Nenda direct kwenye mada
Huyu wa niambie nae ni kituko kwakweliMwingine anakutumia "niambie" sasa nikwanbie na wewe ndio umenitafuta!! Nikikwambia kafie mbele utaniona wa ajabu kweli!!!
Nina laki 3 hapa viph unaweza ifata ukanunulieWazee wa pm direct ifike mahali mjifunze kutongoza, mnakera mnafanya watu wafunge pm kwa viujinga vyenu!!!
Wakati unazama pm make sure umemsoma soma kidogo unaemfata yukoje, huwezi jua kila kitu ila hukosi hata kimoja, yani kama mie hivi nnavojitahidi kuandika kwa ufasaha kuna kibushuti kinakuja kuniandikia "xaxa, kipande ip, ixhu znasmje" mxyuuu (nmetoa mfano sijakaribisha), hadi hapo pm yako tayari ni ushuzzz
Make sure umepanga mistari sio misalaaaamu mambo, uko poa, ishu vipi, mishe inaendaje huu nao upimbi.
*nafundisha kutongoza bure
Oh Mungu wangu, by the way you sound charming&Convincing. (Xaxa,kipande ipi[emoji16][emoji16])Wazee wa pm direct ifike mahali mjifunze kutongoza, mnakera mnafanya watu wafunge pm kwa viujinga vyenu!!!
Wakati unazama pm make sure umemsoma soma kidogo unaemfata yukoje, huwezi jua kila kitu ila hukosi hata kimoja, yani kama mie hivi nnavojitahidi kuandika kwa ufasaha kuna kibushuti kinakuja kuniandikia "xaxa, kipande ip, ixhu znasmje" mxyuuu (nmetoa mfano sijakaribisha), hadi hapo pm yako tayari ni ushuzzz
Make sure umepanga mistari sio misalaaaamu mambo, uko poa, ishu vipi, mishe inaendaje huu nao upimbi.
*nafundisha kutongoza bure
Naona swala la pesa ndo mmelibeba, what about good approach!!!Kuna watu bhana, ni wabahahili,wanaotafuta kupiga hatua na sio kwamba hela hawana ila waanazo,but ni wabahili wa kutaka kufanya maendeleo hao VIP ni real men au sio real men
Hapo chacha.Kama kipindi cha salamu RTD.
Nachukia kuandikiwa xaxa kwanza nikiona xaxa sijibu make nahisi kimtu tu kutoka fesibook na kinaishi kwa shemeji akeMi nilijua wanaume tu ndo hatupendi uandishi huo wa kike kumbe kuna wadada hampendi zile sijui
(jomoni, I'm xowiii)
Tayari kikware mmoja hapa nimepiga uturn, May you check my PM please.Yeah wanaofanya hivi wanakuaga wanaume flani matured, wenye tabia za kiume,yani ni real men....
Mbarikiwe sana real men kokote mliko, muongezewe zaidi mnapotoa.
(Basi vikware hapa vitanyapia baadae vipige uturn pm vijifanye navyo ni vi real men)
Hapo chacha.
Saa 4 Mambo
Saa 5 Hujambo
Saa 6 Nambie
Saa 7 Upo
Saa 8 Nimekumiss
Saa 9 Vp shwari.
Mbona kama tunaviziana?
Aaah unaniangusha....Hapo ndio panaponifanya nishindwe kuja pm yako
Nachukia kuandikiwa xaxa kwanza nikiona xaxa sijibu make nahisi kimtu tu kutoka fesibook na kinaishi kwa shemeji ake
ππππππOh Mungu wangu, by the way you sound charming&Convincing. (Xaxa,kipande ipi[emoji16][emoji16])
πππππMi hakuwahi nipa likes wala nini zaidi ya kusoma nyuzi zangu nilivyofungua uzi wa hamorapa tu akanifata pm,najiuliza ningekuwa nimefunga pm ningempataje jamanii alhamdulillah
Vip wine unatumia au mpaka Christmas?ππππππ
Eti kama mimi ninavyokupa like ndo nitakupata??Wazee wa pm direct ifike mahali mjifunze kutongoza, mnakera mnafanya watu wafunge pm kwa viujinga vyenu!!!