Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Maendeleo gani hayo unayofanya ambayo hayamuhusishi mwanamke!! Basi subiri umalize maendeleo ndio utongoze.
Kuna watu bhana, ni wabahahili,wanaotafuta kupiga hatua na sio kwamba hela hawana ila waanazo,but ni wabahili wa kutaka kufanya maendeleo hao VIP ni real men au sio real men