Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekuwa ku-Like ndio kupendwa wewe ungekuwa umenifia kabisa!Sidhanii
Ningekua nikinywa maji nakuona kwenye glass kwa mahaba ningekua nayoIngekuwa ku-Like ndio kupendwa wewe ungekuwa umenifia kabisa!
Wewe huwa huna ubinafsi kwenye kutoa like, ingekuwa tofauti ningehisi kitu, ila najua damu yangu hii ni chafu haipendeki [emoji16]Ningekua nikinywa maji nakuona kwenye glass kwa mahaba ningekua nayo
Hahahahaa. Mimi namwaga like Sana tu. Sema naangalia kilichoandikwa kwanzaWewe huwa huna ubinafsi kwenye kutoa like, ingekuwa tofauti ningehisi kitu, ila najua damu yangu hii ni chafu haipendeki [emoji16]
Hata mimi nakumwagia za kutosha tu, ukiona hivyo ujuwe kuna madini ndani yake. Sijui nikija pm naanzaje na wewe... Dah, kweli kutongoza kazi sana.Hahahahaa. Mimi namwaga like Sana tu. Sema naangalia kilichoandikwa kwanza
Anza na Namba ya muamalaHata mimi nakumwagia za kutosha tu, ukiona hivyo ujuwe kuna madini ndani yake. Sijui nikija pm naanzaje na wewe... Dah, kweli kutongoza kazi sana.
..wacha we! Nitakuwa nimesaliti necha ya kabila langu.Anza na Namba ya muamala
mpe ya tigopesa😛Anza na Namba ya muamala
Kabila gani?..wacha we! Nitakuwa nimesaliti necha ya kabila langu.
Ntampa ya halopesampe ya tigopesa😛
pareKabila gani?
Wabahili hao jamani. Halafu wanavyopenda wanawake wazuri sasa ila kutoa hela wagumupare
😀😀😀😀😀😀Wabahili hao jamani. Halafu wanavyopenda wanawake wazuri sasa ila kutoa hela wagumu
Hahaha...haya bwana!Wabahili hao jamani. Halafu wanavyopenda wanawake wazuri sasa ila kutoa hela wagumu
mm mgeni na wapare.. ila hua naskia wabahiliEti ni kweli manengelo?
Except to married couples au wale inajulikana wazi kuwa wapo ktk ndoa muwaache....spidi ya mauaji, kujinyonga na kuachana imeongezeka kwa kiasi ambcho hakujawai kuonekana tangu Uhuru.Wherever there is interaction, attraction is bound to happen. Kuna watu humu wamepata flings, spouses, wengine got married and some ended up being catfished. All is life.
So lets say someone caught your eye humu, lakini hujui uanzie wapi. Unaweza ukaenda straight PM ila more times than not haita end well.
Ila use this guideline and you might have a shot.
1. Usiwe mchoyo wa likes. Yaani mmwagie huyo mtu like popote pale unapoiona comment yake. Hii ni kama unaji-introduce bila hata kumpa hi, ile kuona jina lako kila saa kwenye notification, ni introduction tosha.
2. Baada ya step one. Anza kuchangia comment zake, ukiona amecomment popote, anza kujibu comment zake. At first try to keep it short and to the topic.
3. Endelea kuijibu comment zake pale utakapoziona, ila safari hii anza na kuingiza matani ya hapa na pale. Ukiona na yeye ana-respond vizuri basi hapo ujue kashaanza kukuzoea.
4. Endelea na namba tatu, ukiona mko kwenye thread ya watu hadi mnatoka nje ya mada na yeye anaendelea kukujibu tu. Basi ujue ni muda muafaka sasa wakuzama PM.
5. After the steps above, zama kwenye PM yake, hutakutana na kipingamizi chochote kwavile anakuwa ashakuzoea so atakuwa anakujibu tu vizuri. Ukiona PM yake imefungwa, omba akufungulie, itakuwa nadra sana kukataa.
6. Endeleeni kulisongesha PM, ila usi-act desperate, after a few days of chatting omba namba. After that utajua mwenyewe mtaendeleaje baada ya hapo.
NB. Hii strategy has a 90% chance of working. Ukiona mtu hakujibu/ changamkii kama wewe unavyomchangamkia kwenye threads mbalimbali au hata mkienda PM. Let it go. Otherwise unaonekana msumbufu tu.
Strategy nyingine ni kutafuta influencer au mtu popular humu ndani na kuwa friends nae. And here comes the wonderful thing about human psychology, watu wakikuona uko friends na mtu fulani ambae ni popular, they will always want to associate with you too. So inakuwa ni rahisi sana na wewe kuzoeana na wengine, hata hupati tabu.
So go forth and prosper friends!