Huwezi kuwa bilionea kwa kuanza na mtaji au biashara ya kawaida (ndogo) and then eti ndiyo hiyo hiyo ikukuze mpaka uwe bilionea.
Lazima, ukwapue sehemu au ufanye janja fulani ili ukue zaidi.
Ndiyo maana biashara haramu zipo kwa ajili hiyo.
Sasa wewe komaa na laki mbili kama mtaji wako huku ukitegemea kuwa bilionea, haitatokea.
Jidanganye tu,ulitaka Mengi akiambie mikopo aliyo default?Mengi alianza na Ball point pen na mtaji wa kwanza ulikuwa Idea wapili negotiation na wazalishaji pen walivyokubakiana wa import mzigo faida ikisomeka awawsilishie pesa.
Ukifuata fumular atakayebaki ni Mungu tu aamue asiamie ila kama ukipata pesa unanunua supu tu huangaiki na kupata backup utakula aisikilimu hadi uzee.Naamini ipo siku biashara yangu ya uuzaji asikirimu nitakua Kama bakhera...[emoji12]
Kabla au baada ya nilichokiandika?Jidanganye tu,ulitaka Mengi akiambie mikopo aliyo default?
Kabla,unajua watu wengi tulikua hatuna elimu ya money laundering by then,ila hizo issue za kutengeneza pen sijui watu kuuza karanga wakatoka zilikua sinema tuKabla au baada ya nilichokiandika?
Unajua hapo wkt Mengi anaanza biashara alikua ni Managing Patner wa Cooper Brothers kwa sasa ikijulikana kama PriceWaterHouseCoopers- PWC?Mengi alianza na Ball point pen na mtaji wa kwanza ulikuwa Idea wapili negotiation na wazalishaji pen walivyokubakiana wa import mzigo faida ikisomeka awawsilishie pesa.
Ki-ukweli kabisa sijawahi kuona mtu yoyote yule aliyefanya kazi serikalini nikimaanisha halmshauri/jiji/mashirika ya umma then akawa tajiri bila kuiba hela ya serikali hayupo hata mmoja.Katika utajiri wa watu wengi,kuna msukumo wa namna flani uliowawezesha kufika hapo walipo,lakini sio mapambano tu ya kawaida,mfano mtu kaiba hela serikalini katajirikia halafu mwisho wa siku anataka kusadikisha watu kuwa alifuata rules flani ndio maana kawa tajiri...
TrueeeeeKi-ukweli kabisa sijawahi kuona mtu yoyote yule aliyefanya kazi serikalini nikimaanisha halmshauri/jiji/mashirika ya umma then akawa tajiri bila kuiba hela ya serikali hayupo hata mmoja.
Wote wezi wezi walidokoa sehemu wakaanzisha vimiradi vyao wakatoboa lkn story za walidunduliza sijui nini hakuna kitu kama hicho.
Hata bill gates/warren buffet wana makando kando ya kufa mtu.Ndio kona kona na ujanja ujanja! Sio kwa Africa tu. Ni duniani kote kwa ujumla..lazima ucheze na system ili ufike juu. Hakuna bilionare yoyote duniani ambae hajacheza na system.
Hebu tutajie hio taasisi hapa mkuu.Kumbukumbu zinasema mengi amewah kuwa mfanyakazi wa serikalini tena taasisi za kifedha
Maisha ni hatua mkuu.Naamini ipo siku biashara yangu ya uuzaji asikirimu nitakua Kama bakhera...[emoji12]
UmemalizaUtajiri una siri nyingi ndo maana si kila mtu ni tajiri. Umasikini hauna siri
Na hapo huwezi kukuta panatankwa mahali popote kwa kuwa ndio maisha ya mtu yalipo, hiyo ndio siri. (Ya mtu mmoja)Konde boy alianzia chini, sa ivi anagawa hela jukwaani.
Pia Makonda kuna picha za zamani alikua choka mbaya sa ivi yuko hapo alipo.
The Masanja na wenzake walikua choka mbaya, sa ivi wana magari ya kubadilisha kuanzia jumapili mpaka jumaosi.
Tatizo hapo katikati huwa hatuambiwi ukweli walifanyaje, labda mfano kujipendekeza kwa wakubwa, kuuza unga, walisoma elimu ya juu zaidi, walienda kanisani na kuombewa etc. huwa hawatamki kabisa, ili na sisi tuwe matajiri.
Walitoa kwa babu zao piaPoor Minds.Umeshindwa hata kujiuliza hao babu zake dangote wao walitoa wapi Mali?
Kwa hiyo tuanzeje sasa!
Na hao babu zao walizitoa wapi?Walitoa kwa babu zao pia