Jinsi wenye magari wanavyopigwa na mafundi

Sasa huo ni utoto!

Hata uhakika wa kwamba hiyo kazi mtapewa nyinyi ni mdogo mno kwa hiyo gharama yao.

Mbongo ukimtajia bei kubwa anaanza kuwaza plan B!

Wangekuwa wanasema hata 80K.
 
Sasa huo waya umekatwa kwa maksudi au bahati mbaya?
 
Hio gari inamaana kabla hata ya kwenda kwenye maji waya ulishakatwa, je check engine haikuwa inawaka? If yes,kwa hio haikuwa na shida
 
Kukata wire ni kitu kimoja...

Usiombe mtu aswap wires kwenye gari yako....

Ni disaster.
Mimi sijaelewa sababu kuu ilikua apate faida gani mkuu.

Umeniogopesha gari yangu nimepeleka garage nimeambiwa siku tatu ndo nikafate, niligonga guta ikaharibika taa na bampa limekatika .. Ni subaru pia na haina pia hata miezi 5
 
Mimi sijaelewa sababu kuu ilikua apate faida gani mkuu.

Umeniogopesha gari yangu nimepeleka garage nimeambiwa siku tatu ndo nikafate, niligonga guta ikaharibika taa na bampa limekatika .. Ni subaru pia na haina pia hata miezi 5
Ni simple logic tu mkuu. Kama jamaa angekubali kulipa hiyo laki na nusu, jamaa wangeingia tu wakaunganisha huo waya chap then wakala hiyo hela.

In short, wamelitengeneza wao hilo tatizo then wakamuongopea mmiliki wa gari kua tatizo ni kitu kingine kikubwa. Tatizo lilikua waya walioukata makusudi, sio oxygen sensor aliyoambiwa mwenye gari.
 
Aah sawa mkuu nimekupata..
 
Bonge Moja la tangazo , mwanangu utakula vichwa kinyama
 
Kukata wire ni kitu kimoja...

Usiombe mtu aswap wires kwenye gari yako....

Ni disaster.
Ila kama ningekuwa mimi- baada ya kuona taa ya CHECK ENGINE inawaka na wakati naipeleka kwao kukaushwa aikuwa inawaka ningewaachia gari warekebishe nisingeichukuwa kwani hilo la kuwaka taa alikuwepo- na kama alivyosema mdau mmoja humu ndani- andaa Technical report Peleka hao nyau Police mbali na kuwa funzo kwa wengine walipe fidia ya usumbufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…