Jinsi wenye magari wanavyopigwa na mafundi

Mimi Subaru yangu iliingia maji kwenye mafuriko ECU ilinicost kati ya laki tatu hadi sita sijumbuki..
Pole aiseeee....

Ila ECU za subaru zimekaa uchi uchi sana, kuingia maji ni kufumba na kufumbua....

Kuna magari hata itokee gari liogelee lote kwenye maji na lizame bado ECU haitaingia maji...
 
Lengo lake kukata huo waya ni nini?
Unapeleka gari kwa mtu haina tatizo unataka tu akukaushie sababu maji yameingia ndani.

Mtu anacreate tatizo kwenye gari lako na anakuwa na solution(kukata wire).

Unaenda kuchukua gari unaendesha kidogo, check engine hiyo.

Unaamua kurudi kwa huyo jamaa, unamwambia mbona check engine inawaka? Anacheckcheck baadae anakuambia shida ni Control box imeloa na kukausha ni 150,000.

Unamcheck fundi wako mwingine anajuambia umepelekee gari, baada ya siku kadhaa anakuja kugundua kuna waya umekatwa unahusiana na hiyo shida ya check engine.

Anaurudishia gari inakuwa sawa.


Angetoa laki na nusu Control box ingeenda kukaushwa(kuunganisha waya aliokata na kuchukua hela).
 
Hahaha umeamua urahisishe mambo. Watu wana vichwa vigumu hawajaelewa wanaendelea kuuliza tu.
Mtu wa kanda ya ziwa mtani wangu huwa hatufeli kanda ya ziwa.
 
Huyu jamaa ni bonge la fundi sio kanjanja..kichwani yupo njema.
Nawashauri wote mnaoenda kwa mafundi wenu wa mtaa wa 7 muache mara 1 siku gari zenu zitakuja kuwazimikia geti la FFU kwa sababu fundi mangugu katoka kutibu uzima badala ya tatizo.
 
Pole aiseeee....

Ila ECU za subaru zimekaa uchi uchi sana, kuingia maji ni kufumba na kufumbua....

Kuna magari hata itokee gari liogelee lote kwenye maji na lizame bado ECU haitaingia maji...
ECU yake ipo chini chenye foot rest ya abiria wa mbele..that's why..gari zingine unakaa juu kwenye Bonet kule
 
Duh aisee
 
ECU yake ipo chini chenye foot rest ya abiria wa mbele..that's why..gari zingine unakaa juu kwenye Bonet kule

Licha ya kukaa hapo chini, bado iko waziwazi sana, Uwazi ni mkubwa kwenye housing lake hivyo maji ni rahisi kuingia.

Iangalie ECU ya Vanguard au Miss Tz[Rav 4 3rd gen].
 
sawa mzee wa proglam🤣🤣ila wee sio fundi bado coz ingine namfumo mzima unaofanya gari itembee hugusi unadili na waya tuu.kwahio ng'ombe wataendelea kupigwa tuu
Kuna tatizo mkuu?, yes kwenye gari sijui vitu vingi sana.

Na kuna watu wengi sana nawakataa sababu matatizo yao siwezi kusolve.

Ili uwe fundi ni lazima ujue kila kitu kwenye gari?.

Labda wewe uniambie kwenye gari ni kazi gani ambazo unafanya?

Na pia ili na mimi niwe fundi kama wewe ni vitu gani niongeze?
 
Kwa hiyo walitoa nn ndo wakafunga hiyo tape!!!
 
Kwa hiyo walitoa nn ndo wakafunga hiyo tape!!!
Walitoa tape zilizokuja na gari, wakatoa waya kwenye gamba lake, wakakata, wakarudishia gamba wakapiga tape mpya....

Gari haina hata miezi 6, hiyo tape mpya ndio ilianza kuzua maswali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…