Jinsi ya ku root simu yako ya Android

Post nzuri sana hii.
 
Naomba kufahamu wakuu iwapo nimeroot simu yangu zile program nilizojiwekea kabla zinapotea au zitabaki?
 

Nimedownload kingroot 4.8 nimeifungua iko hivyo nianze vipi kuroot y6 yangu?
 
Wakuu,dah!!!!nimeroot simu Yang yapata mwezi hivi,Jana haitaki kuwaka inaandika x-bo tuuuu!!naombeni msaada undo nishaiua nn
 
Ushukuliwe ulitoa hii thread nimeweza kuroot simu yangu,mwanzo sikujua hata maana ya kuroot lakin kupitia uzi wako nimeelewa pia nimeroot nimeroot s4 yangu.Thank alot.
 
ngoja tu nchukue kanamba kako mkuuu,haya mambo ya utafiti tafiti haya yasijeniondoa humu
 
Kwa ambao tumetumia kingroot kufanya rooting..je ukitaka ku unroot phone unafanyaje?
 
Mkuu mi nikidownload hiyo kingroot kutoka Google ikimaliza inaniambia can't open file.Tatizo lipo wapi ?
 
Tunaomba a detailed information jinsi ya Ku root pamoja na faida na hasara zake
 
Wadau nikitaka kudownload Blackmat napata huu Ujumbe, natanguliza shukrani
 
Nataka niroot tecno p5 lakini nikibonyeza burld number haieti chochote nifanyaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…