Nelson Kapaya
Member
- Aug 7, 2014
- 99
- 15
Mkuu stephot, fuata haya maelekezo HAPA.Mimi nimefuata procedure zote lakini inagoma baada ya kufikia hatua ya mwisho ambapo ina install na ikifika 90% inaniambia ROOT FAILED kama moja wapo ya screen shots zinavyoonekana kwenye thread ya Athanas0011 na simu yangu ni Itel 1503.
Mkuu nahitaji kuziondoa baadhi ya system apps ambazo hazina umuhimu kwangu lakini kila nikijaribu kuzitoa zinanipa warning hii imekaje simu nimeshairoot tyari msaada wako plzMkuu stephot, fuata haya maelekezo HAPA.
Jaribu kila mara itakubali mm pia ilikuwa hivyoSAMSUNG J100H Imegoma kuroot msaada
Techno Y2 inagoma kuroot inafikia 90% inseams ROOT FAILED Error code ox199A871 inakuwaje?
J2 j3 p5 h6 yote yanakubalitecno yangu H8 imekubali
J5 boomJ2 j3 p5 h6 yote yanakubali
Fuata izo step itakubaliJ5 boom
Ilikubali na nimesha root simu zingine tanoFuata izo step itakubali
I[emoji122] [emoji122] [emoji122]Ilikubali na nimesha root simu zingine tano
Tumia njia ya ku-root kwa apps za simu tuu kama Kingroot...Mbona tecno h5 inakataa kuroot