Jinsi ya ku root simu yako ya Android

Jinsi ya ku root simu yako ya Android

Nataka kuformat simu yani reset je inaweza leta matatizo sababu nimeiroot au mpaka ni unroot ndo itakua safe ku reset mana nimesikia inaweza kufa simu
 
Habari wakuu
Nimeroot simu ya samsung s3 mini na ina android version ya 4.1.2
Sasa nahitaji msaada wa jinsi ya kuupgrade iende kwenye Lolli pop version
 
Mbona tecno h5 inakataa kuroot
Tumia njia ya ku-root kwa apps za simu tuu kama Kingroot...

Hiyo njia ya kutumia Computer itakuzinguzia...

Rudia kusoma Yale maelezo ya mleta mada ( tumia njia isiyo ya computer)
 
Ndio natumia kingroot ila inaenda badae inaniambia root failed
 
Back
Top Bottom