dudukila
Senior Member
- Jun 20, 2015
- 134
- 37
Na wakat mwingine inasema no network acessTumia njia ya ku-root kwa apps za simu tuu kama Kingroot...
Hiyo njia ya kutumia Computer itakuzinguzia...
Rudia kusoma Yale maelezo ya mleta mada ( tumia njia isiyo ya computer)