Jinsi ya Ku view status ya Mtu WhatsApp Bila yeye kuona kama umeview

Sasa inakuwa na maana gani status utake kuziona ila alieziweka asijue kama umeangalia! Si umute tu!

Hapo kwa Yanga tuko pamoja
 
Wee uliyeleta hii mada uko dunia ya wapi,yaan unafikia hatua ya kujidanganya kwamba utapiga mamilion ya hela kwa kitu kidogo kama icho!!! Ila anyway nadhan umeshafahamishwa Sasa!

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Hasa na ma x na wadangaji ..hii Ni changa la macho pale jamaa akidai baby vip nakucheki sikuoni WhatsApp ..jibu utasikia baby Sina bando ukiona hivyo.

Mabaharia tunajielewa tumesanuka!
 
Stress zingine bana,mtu angalie status yako au asiangalie so fuckin wot.
 
Mimi nataka waone nime-view alaf sija reply chochote [emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…