Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi binafsi niliwahi kuwa mvutaji mkubwa wa sigara, mpaka pakti mbili kwa siku.
Niliamua tu siku moja kuacha kuvuta, miaka 15 nyuma, mpaka leo AlhamduliLlah sijavuta tena.
Ni kuamua tu.
Mimi binafsi niliwahi kuwa mvutaji mkubwa wa sigara, mpaka pakti mbili kwa siku.
Niliamua tu siku moja kuacha kuvuta, miaka 15 nyuma, mpaka leo AlhamduliLlah sijavuta tena.
Ni kuamua tu.
Kumbe bibi ulikua smoka eeh
Vuta unga utaacha sigara mkuu
Mh! kula kinyesi
Hongera, ila uwe mbali na wavutaji Cigara!