snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,437
- 2,043
Rasmi sasa WhatsApp waruhusu kuedit message uliyoituma kimakosa au bila kuwa na makosa lakini ungependa kuedit vitu kama vile emoji n.k
Ni uamuzi mzuri japo utaleta hoja kuhusu encryption ya message tutakazokuwa tuna tuma kwasabu WhatsApp ni end to end encrypted.
Kumbuka waweza kuedit text Yako ndani ya dakika 15 zaidi ya hapo hautoweza kuedit Tena.
Jinsi ya kufanya angalia muongozo katika video hapa chini, kumbuka kuupdate WhatsApp yako
👇👇👇👇👇👇👇👇
Source - TradersPDF