Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 4,240
- 10,561
Premium WhatsApp ni wale verified users na Meta.Hii premium whatsapp ikoje
1. Unalipia kila mwenzi
2. Inakuwa na bluetick,
Hii option ipo kwa kila whatsap kwa sasa, Haina mashart magumu.
But premium whatsapp zingine zinakuwa hazina bluetick lakini zinakuwa verified bila garama yeyote.. ( hii ina process ndefu kidogo na ni complicated sana, kupigwa bani ni dakika sifuri ukishindwa kufuata policy za meta)
Ndo inavipengere hivyo vya
1. Huwezi kufuta sms ukisha ituma( hamna kipengere cha delete for everyone)
2. Haina kipengere cha edit ( ukituma sms umetuma)