Kwa kweli..Ni mapinduzi makubwa
Hii feature zamani ilikuwepo mkuu,Ni mapinduzi makubwa
WhatsApp sio Open Source kwahiyo Kuna uwezekano mkubwa wa kuwa private key wanihifadhi kwenye server zao ndani ya dakika hizo 15 na kuwezesha payload kutumwa Tena to receiver ili message iwe edited.End to end encrypted. Kunashida Gani kukiwa na Edit mkuu? Naomba msaada
Ahsantee sana mkuuWhatsApp sio Open Source kwahiyo Kuna uwezekano mkubwa wa kuwa private key wanihifadhi kwenye server zao ndani ya dakika hizo 15 na kuwezesha payload kutumwa Tena to receiver ili message iwe edited.
WhatsApp walidai hawahifadhi encryption key, sasa vipi usalama wa server zao kama wanaweza hifazi key hata Kwa dakika 1,
Japo sikuhizi hawahitaji E2E ili kukufatilia wanahitaji metadata tu kama Stewart Baker alivyosema.
Na metadata WhatsApp wanihifadhi na kushare kwenye apps zao nyingile Kwaajili ya target ads n.k
Unaweza Mimi Nina Premium WhatsApp na Ninaedit sema Ni kwa 15 Minutes Ukichelewa Bhasi tena..Kwa Premium WhatsApp huwezi ku edit Message au emoji... Ukituma umetuma.. ✍️ ✍️ ✍️
Hii feature, mbona ipo muda mrefu. Huu mwaka mzima mimi naitumia.
Wewe unatumia tofauti na ya kwangu mkuu. Mimi hii haina option ya ku editUnaweza Mimi Nina Premium WhatsApp na Ninaedit sema Ni kwa 15 Minutes Ukichelewa Bhasi tena..
Na Nimetok Kuilipia kama wiki mbili zilizopita Tu..
Jaribu Uone
nimeshangaa kuona had leo hamna sehem ya ku edit kwenu upande wa (Android) nadhan wanao tumia Iphone ni mwaka sasa au inakarbia mwaka unaweza edit txt sasa sijui kama hiyo haikuwepo kwenye androidView attachment 3139560
Rasmi sasa WhatsApp waruhusu kuedit message uliyoituma kimakosa au bila kuwa na makosa lakini ungependa kuedit vitu kama vile emoji n.k
Ni uamuzi mzuri japo utaleta hoja kuhusu encryption ya message tutakazokuwa tuna tuma kwasabu WhatsApp ni end to end encrypted.
Kumbuka waweza kuedit text Yako ndani ya dakika 15 zaidi ya hapo hautoweza kuedit Tena.
Jinsi ya kufanya angalia muongozo katika video hapa chini, kumbuka kuupdate WhatsApp yako
👇👇👇👇👇👇👇👇
View attachment 3139565
Source - TradersPDF
Hii premium whatsapp ikojeKwa Premium WhatsApp huwezi ku edit Message au emoji... Ukituma umetuma.. ✍️ ✍️ ✍️
Update WhatsApp yako mkuuWewe unatumia tofauti na ya kwangu mkuu. Mimi hii haina option ya ku edit View attachment 3139602
1. Ukituma message huwezi ku edit
2. Haina kipengere cha delete for everyone,
View attachment 3139598
Ilikuwepo kote mda tu wakaitoa now wamerudisha tenanimeshangaa kuona had leo hamna sehem ya ku edit kwenu upande wa (Android) nadhan wanao tumia Iphone ni mwaka sasa au inakarbia mwaka unaweza edit txt sasa sijui kama hiyo haikuwepo kwenye android