Premium WhatsApp ni wale verified users na Meta.Hii premium whatsapp ikoje
Hapana premium WhatsApp haina haja ya ku-update.. Ni automatically inaji-update yenyewe mkuu.Update WhatsApp yako mkuu
Hii feature ilikuwepo back in 2017 kabla WhatsApp hawajaleta E2EE.Mbona kitambo sana unaweza kuedit au hapa katikati ulikua hutumii WhatsApp?
Inakaribia mwaka mtu anaweza kuedit message WhatsApp wewe umeileta kama taarifa mpyaHii feature ilikuwepo back in 2017 kabla WhatsApp hawajaleta E2EE.
Wakaja ileta Tena Mwaka Jana May 22, 2023 kama unasema umeanza kutumia kabla ya May 22 mwaka Jana, utakuwa muongo.
Lakini baada ya May 22 mwaka Jana wakaja kuitoa na kuirudisha na baadhi walikuwa wanapata kwenye desktop wengine simu wengine hawapati kabisa
kwangu always ipo haijawah kupotea (IOS)Ilikuwepo kote mda tu wakaitoa now wamerudisha tena
nimeshangaa kuona had leo hamna sehem ya ku edit kwenu upande wa (Android) nadhan wanao tumia Iphone ni mwaka sasa au inakarbia mwaka unaweza edit txt sasa sijui kama hiyo haikuwepo kwenye android