Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,795
Kwa kawaida ni ngumu sana kuendesha haya magari ya kisasa kwa speed chini ya 50KpH!
Ukikanyaga mafuta kiduchu unakuta gari ishafika kwenye sitini au zaidi.
Njia ninayoitumia kujizuia kuvuka 50KpH ni kulimit gears.
Huwa nikifika maeneo hayo huwa naweka gia kwenye D3 au gia no 3 kutegemea na gari.
Hii hufanya gari kuwa nzito hivyo kushindwa kuvuka speed limit.
Siku hizi kwangu kukamatwa kwa over speed ni ndoto.