Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
TUSIO NA MAGARI TUNARUHUSIWA KUCOMMENT?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wengi hawajui kuendesha manual sikuhizi
MMUTuna komenti wapi sisi ambao hatuna magari...!!??[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Na yenyewe ni gari kwani...[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Mkuu fafanua kidogo hapaWewe ni dereva? Huwezi ku-control throttle isizidi certain rpm? Kama huwezi ku-control kitu kidogo hivyo ulipataje leseni? Kuna kitu kwenye gari kinaitwa Cruise Control hio ndio kazi yake. Ukifika 50kph una-activate, in case umepunguza mwendo unabonyeza resume ina-accelerate yenyewe hadi 50kph uliotega mwanzo. Magari mengi kuanzia 2000 yana hii kitu ila madereva wengi wa Bongo hawajui kutumia.
Sio,Na yenyewe ni gari kwani...[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Basi sawa mkuu....[emoji17] [emoji17] [emoji17]
Kwamagari ya kisasa kama Ford Ranger n.k, usipokuwa makini kucheki speedometer inakula kwako maana unakuwa unaendesha gari nakuhisi gari linaenda taratibu kumbe upo unaiaga 80km/h.Kwa kawaida ni ngumu sana kuendesha haya magari ya kisasa kwa speed chini ya 50KpH!
Ukikanyaga mafuta kiduchu unakuta gari ishafika kwenye sitini au zaidi.
Njia ninayoitumia kujizuia kuvuka 50KpH ni kulimit gears.
Huwa nikifika maeneo hayo huwa naweka gia kwenye D3 au gia no 3 kutegemea na gari.
Hii hufanya gari kuwa nzito hivyo kushindwa kuvuka speed limit.
Siku hizi kwangu kukamatwa kwa over speed ni ndoto.
yaani gia za kupanda milima na kuvukia vikwazo ndiyo utumie kuendeshea?Ukiona no 3 unavuka weka mbili. Ila sio rahisi kama unaendesha gari ya Diesel. La sivyo gari litakuwa 'linakoroma' sana.
By default gari la automatic gearbox linakuwa na overdrive on, unapobonyeza ile button ya overdrive off, unakuwa unazima overdrive, ndio maana inakuwa nzito. Maana hapo unaifungua kwenye gia namba 3 (kwa gari zenye gia nne). Ila ni bora kulegeza muguu tu, maana inafanya kitu kile kile ila kwa mafuta kidogo. Maana kuzima overdrive kisha ukanyage mafuta unalichosha gari tu.Mimi kwa kuwa nishazoea kukanyaga mafuta ,huwa naweka ovedfrive on.basi inakuwa nzito na kupungua mwendo yenyewe kwa ukanyagaji ule ule
Exactly zile rasta zinakata body za gari yani hili nchi bana wenzetu wanafunga cameras unapigwa fine electronically sisi tunajenga matuta barabarani kama walima viazi. Rubbish!!hii si sawa ,elewa unapotumia gia hizo na fuel inatumika kwa wingi,pamoja na athari zingine kama break,wewe umeona wapi freeways zinakuwa na speed limit hiyo?,hiki ni kituko ndani ya nchi yetu na elewa ni makosa kwa binadamu au wanyama kutembea,kusimama kwenye hizi highways na inapotokea freeways zinakatiza miji au makazi ya watu ,alama zinakuwepo kuonya madereva na speed trap au camera zipo pale,kilichowekwa pale mikumi national park ule ni uchafu,na kile kipande cha barabara nzuri mno kutoka pale nje ya mbeya kuja iringa,matuta ni mengi mno aliyeshauri vile ni kiwete wa kufikiria,mle ilitakiwa kujenga speed cameras.tuendelee kusubiri
Ni gari aina gani hiyo mkuu na speed meter yake mwisho ngapi?
Ni gari aina gani hiyo mkuu na speed meter yake mwisho ngapi?
Kuna gari hazina over drive i.e Subaru Legacy, Toyota Altezza...Mimi kwa kuwa nishazoea kukanyaga mafuta ,huwa naweka ovedfrive on.basi inakuwa nzito na kupungua mwendo yenyewe kwa ukanyagaji ule ule