Jinsi ya kuendesha gari kwa 50Km/Hr bila kukamatwa na polisi

Jinsi ya kuendesha gari kwa 50Km/Hr bila kukamatwa na polisi

Mimi kwa kuwa nishazoea kukanyaga mafuta ,huwa naweka ovedfrive on.basi inakuwa nzito na kupungua mwendo yenyewe kwa ukanyagaji ule ule
labda off ila ukitia on inaachilia gia zote ziwe tano au sita gari inapepea tu. Ukiweka off inarudi namba 3 automatically
 
Exactly zile rasta zinakata body za gari yani hili nchi bana wenzetu wanafunga cameras unapigwa fine electronically sisi tunajenga matuta barabarani kama walima viazi. Rubbish!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona humzungumzii aliejenga njia ya Goba. Yani kila baada ya meter 130 ni tuta mpaka kero. Njia nyengine ni ya Mbezi - Kinyerezi yani mituta njia nzima. Tanzania bana sijui watu wanafikiria kwa kutumia masaburi.😂😂😂
 
Mimi kwa kuwa nishazoea kukanyaga mafuta ,huwa naweka ovedfrive on.basi inakuwa nzito na kupungua mwendo yenyewe kwa ukanyagaji ule ule
Kuna gari kama Subaru Legacy, Forester na Altezza hazina overdrive
 
Kwa kawaida ni ngumu sana kuendesha haya magari ya kisasa kwa speed chini ya 50KpH!
Ukikanyaga mafuta kiduchu unakuta gari ishafika kwenye sitini au zaidi.
Njia ninayoitumia kujizuia kuvuka 50KpH ni kulimit gears.
Huwa nikifika maeneo hayo huwa naweka gia kwenye D3 au gia no 3 kutegemea na gari.
Hii hufanya gari kuwa nzito hivyo kushindwa kuvuka speed limit.
Siku hizi kwangu kukamatwa kwa over speed ni ndoto.

Sio mtaalamu sana wa Magari ila najua kuendelea gari kwenye gia kubwa kwa muda mrefu kuna madhara kwenye injini na gearbox,hizi Gear L 1 au 2 pia hizo D3 ni maalumu kwenye mazingira ambayo gari haitakiwi kubadili gear km kwenye mchango au tope
 
Back
Top Bottom