Jinsi ya kuendesha gari kwa 50Km/Hr bila kukamatwa na polisi

Jinsi ya kuendesha gari kwa 50Km/Hr bila kukamatwa na polisi

Naombeni kuuliza hizi torch za trafic zinafanya je kazi?

Hadi zinajua gari flani ilikuwa speed numaer ngapi
 
Kwa Maelezo yako inaonyesha bado mgeni wa magari hizo kanuni unazozizungumzia ziko Kinyume kabisa na Driving na issue za kitechnical pia.. Inaonyesha huna experience yoyote na inawezekana Ndio gari yako ya kwanza kununua.. Mkuu kwa uendeshaji huo labda uwe unamiliki kituo cha mafuta mana hiyo Fuel consumption Itakuwa sio ya mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kawaida ni ngumu sana kuendesha haya magari ya kisasa kwa speed chini ya 50KpH!
Ukikanyaga mafuta kiduchu unakuta gari ishafika kwenye sitini au zaidi.
Njia ninayoitumia kujizuia kuvuka 50KpH ni kulimit gears.
Huwa nikifika maeneo hayo huwa naweka gia kwenye D3 au gia no 3 kutegemea na gari.
Hii hufanya gari kuwa nzito hivyo kushindwa kuvuka speed limit.
Siku hizi kwangu kukamatwa kwa over speed ni ndoto.
Utapata hasara kwenya mafuta. Unashindwa nini kukotrol gari wakati hizo km 50 hazijitokezi ghafla?
 
Naombeni kuuliza hizi torch za trafic zinafanya je kazi?

Hadi zinajua gari flani ilikuwa speed numaer ngapi
Waziri kaskazini hii inaitwa Doppler effect.Aliyegundua alikuwa anaitwa Christian Doppler mwaka 1842 raia wa Austria.Kama ulisoma fizikia hadi kidato cha sita utaikuta hii topic.Picha ya gari,Sauti ya engine vinaingia kwenye kio cha camera frequency zinageuzwa kuwa speed au mwendo screen ya camera inasoma.Siwezi kueleza kwa kirefu hapa ingia goggle andika doppler effect utapata majibu

Waziri soma chini
Screenshot_2019-01-25-11-00-11.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kawaida ni ngumu sana kuendesha haya magari ya kisasa kwa speed chini ya 50KpH!
Ukikanyaga mafuta kiduchu unakuta gari ishafika kwenye sitini au zaidi.
Njia ninayoitumia kujizuia kuvuka 50KpH ni kulimit gears.
Huwa nikifika maeneo hayo huwa naweka gia kwenye D3 au gia no 3 kutegemea na gari.
Hii hufanya gari kuwa nzito hivyo kushindwa kuvuka speed limit.
Siku hizi kwangu kukamatwa kwa over speed ni ndoto.
Wewe ni dereva? Huwezi ku-control throttle isizidi certain rpm? Kama huwezi ku-control kitu kidogo hivyo ulipataje leseni? Kuna kitu kwenye gari kinaitwa Cruise Control hio ndio kazi yake. Ukifika 50kph una-activate, in case umepunguza mwendo unabonyeza resume ina-accelerate yenyewe hadi 50kph uliotega mwanzo. Magari mengi kuanzia 2000 yana hii kitu ila madereva wengi wa Bongo hawajui kutumia.
 
Tangia ulipofika Dar, naona umekosa adabu kabisa skuizi. Maana hata wakubwa zako hautusalimii
Shikamoo Baba, habari za huko nyumbani. Ndugu zangu hawajambo?
Nilikuwa bize kidogo ndiyo maana sikuweza kuwasalimia huko nyumbani.

(umefurahi?)
 
Sasa mkuu utakamatwa vp na unaendesha kwa speed limit ya 50. Ungesema jinsi yakuendesha speed 120 kwenye limit ya speed 50 bila kukamatwa hapo ningekuelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inaelkea kijana unatembelea mitaa ya mjini km Dsalaam lakini ungesafiri tu utoke nje ya mji ukutane na hivyo vibao wala usingefunga hizo breki zako au kutumia gear #3
Dar Mwanza,Dar Mbeya, Iringa Arusha lazima ungekamatwa tu
 
Back
Top Bottom