Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,795
Gari inapokuwa nzito....ndivyo hivyo hivyo mafuta hutumika kwa wingiKwa kawaida ni ngumu sana kuendesha haya magari ya kisasa kwa speed chini ya 50KpH!
Ukikanyaga mafuta kiduchu unakuta gari ishafika kwenye sitini au zaidi.
Njia ninayoitumia kujizuia kuvuka 50KpH ni kulimit gears.
Huwa nikifika maeneo hayo huwa naweka gia kwenye D3 au gia no 3 kutegemea na gari.
Hii hufanya gari kuwa nzito hivyo kushindwa kuvuka speed limit.
Siku hizi kwangu kukamatwa kwa over speed ni ndoto.
Ukiona no 3 unavuka weka mbili. Ila sio rahisi kama unaendesha gari ya Diesel. La sivyo gari litakuwa 'linakoroma' sana.
Ni bora utumie lita moja zaidi ya Tsh 2400 kuliko kulipa faini ya Tsh 30,000!Gari inapokuwa nzito....ndivyo hivyo hivyo mafuta hutumika kwa wingi
Dah hapo nitakuwa naichosha engine tuUkiona no 3 unavuka weka mbili. Ila sio rahisi kama unaendesha gari ya Diesel. La sivyo gari litakuwa '
Kwani mguu wako hauwezi kuthibiti mwendo kwa kukanyaga au kuachia mafuta? Sioni sababu ya kutumia gia ya kupanda mlima kwenye sehemu tambarare; zoea kutumia mguu wako kuthibiti kiasi cha mafuta utakuwa umethibiti spidiKwa kawaida ni ngumu sana kuendesha haya magari ya kisasa kwa speed chini ya 50KpH!
Ukikanyaga mafuta kiduchu unakuta gari ishafika kwenye sitini au zaidi.
Njia ninayoitumia kujizuia kuvuka 50KpH ni kulimit gears.
Huwa nikifika maeneo hayo huwa naweka gia kwenye D3 au gia no 3 kutegemea na gari.
Hii hufanya gari kuwa nzito hivyo kushindwa kuvuka speed limit.
Siku hizi kwangu kukamatwa kwa over speed ni ndoto.
Speed kamera zingeibiwa, si unajua wabongo tulivyo.hii si sawa ,elewa unapotumia gia hizo na fuel inatumika kwa wingi,pamoja na athari zingine kama break,wewe umeona wapi freeways zinakuwa na speed limit hiyo?,hiki ni kituko ndani ya nchi yetu na elewa ni makosa kwa binadamu au wanyama kutembea,kusimama kwenye hizi highways na inapotokea freeways zinakatiza miji au makazi ya watu ,alama zinakuwepo kuonya madereva na speed trap au camera zipo pale,kilichowekwa pale mikumi national park ule ni uchafu,na kile kipande cha barabara nzuri mno kutoka pale nje ya mbeya kuja iringa,matuta ni mengi mno aliyeshauri vile ni kiwete wa kufikiria,mle ilitakiwa kujenga speed cameras.tuendelee kusubiri
hii si sawa ,elewa unapotumia gia hizo na fuel inatumika kwa wingi,pamoja na athari zingine kama break,wewe umeona wapi freeways zinakuwa na speed limit hiyo?,hiki ni kituko ndani ya nchi yetu na elewa ni makosa kwa binadamu au wanyama kutembea,kusimama kwenye hizi highways na inapotokea freeways zinakatiza miji au makazi ya watu ,alama zinakuwepo kuonya madereva na speed trap au camera zipo pale,kilichowekwa pale mikumi national park ule ni uchafu,na kile kipande cha barabara nzuri mno kutoka pale nje ya mbeya kuja iringa,matuta ni mengi mno aliyeshauri vile ni kiwete wa kufikiria,mle ilitakiwa kujenga speed cameras.tuendelee kusubiri
Hongera mkuuKwa kawaida ni ngumu sana kuendesha haya magari ya kisasa kwa speed chini ya 50KpH!
Ukikanyaga mafuta kiduchu unakuta gari ishafika kwenye sitini au zaidi.
Njia ninayoitumia kujizuia kuvuka 50KpH ni kulimit gears.
Huwa nikifika maeneo hayo huwa naweka gia kwenye D3 au gia no 3 kutegemea na gari.
Hii hufanya gari kuwa nzito hivyo kushindwa kuvuka speed limit.
Siku hizi kwangu kukamatwa kwa over speed ni ndoto.
'apa apa baba koment'Tuna komenti wapi sisi ambao hatuna magari...!!??[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Nawewe unamiliki gari kwani...!!??[emoji45] [emoji45]'apa apa baba koment'
Ndiyo mkuu, namiliki vitz! Njoo nikupe liftNawewe unamiliki gari kwani...!!??[emoji45] [emoji45]
Khaaaa....[emoji15] [emoji15]Ndiyo mkuu, namiliki vitz! Njoo nikupe lift
Wewe ni Mwanaume wa Dar? Mwanaume wa mkoani hachagui gia, Anaamua tu ni gia gani kuitupiaKwa kawaida ni ngumu sana kuendesha haya magari ya kisasa kwa speed chini ya 50KpH!
Ukikanyaga mafuta kiduchu unakuta gari ishafika kwenye sitini au zaidi.
Njia ninayoitumia kujizuia kuvuka 50KpH ni kulimit gears.
Huwa nikifika maeneo hayo huwa naweka gia kwenye D3 au gia no 3 kutegemea na gari.
Hii hufanya gari kuwa nzito hivyo kushindwa kuvuka speed limit.
Siku hizi kwangu kukamatwa kwa over speed ni ndoto.
AiseWewe ni Mwanaume wa Dar? Mwanaume wa mkoani hachagui gia, Anaamua tu ni gia gani kuitupia
Sent using Jamii Forums mobile app