Jinsi ya kuendesha gari kwa 50Km/Hr bila kukamatwa na polisi

Ni namna tu ya kubalance mafuta hakuna ujanja mana kama wewe unashindwa kubalance mafuta yako ili uwe bellow 50 sasa unaweza kubalance manual car ipande kilimani kwa rivers bila kupiga race!
Udereva wa veta bana[emoji23][emoji16]🤣

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu fafanua kidogo hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamagari ya kisasa kama Ford Ranger n.k, usipokuwa makini kucheki speedometer inakula kwako maana unakuwa unaendesha gari nakuhisi gari linaenda taratibu kumbe upo unaiaga 80km/h.
 
Mimi kwa kuwa nishazoea kukanyaga mafuta ,huwa naweka ovedfrive on.basi inakuwa nzito na kupungua mwendo yenyewe kwa ukanyagaji ule ule
By default gari la automatic gearbox linakuwa na overdrive on, unapobonyeza ile button ya overdrive off, unakuwa unazima overdrive, ndio maana inakuwa nzito. Maana hapo unaifungua kwenye gia namba 3 (kwa gari zenye gia nne). Ila ni bora kulegeza muguu tu, maana inafanya kitu kile kile ila kwa mafuta kidogo. Maana kuzima overdrive kisha ukanyage mafuta unalichosha gari tu.
 
Akili zetu waafrika za ajabu sana. Ile pedal ya mafuta ndo inayo control mwendo na ni rahisi sana kama ni dereva mzuri ku amua uendeshe mwendo gani kwa umbali gani.kusema gari za kisasa ukikanyaga tu speed inaruka sijajua ni gari zilizotengenezwa inch gani.

Mi naelewa gari anayeongeza speed ni dereva kwa kuamua akanyage accelerator kwa kiwango gani na kasi gani isomeke.mimi huwa sometime naamua kabisa ku maintain km 46 ph na inakaa sawa tu.maana mguu wangu upo strong na hautetemeki. Why nilipe gari mzigo na matumizi yasiyo sahihi ya gear?
 
Exactly zile rasta zinakata body za gari yani hili nchi bana wenzetu wanafunga cameras unapigwa fine electronically sisi tunajenga matuta barabarani kama walima viazi. Rubbish!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa mguu nanga hutoweza kubalance na kutembea chini ya 50km/hr. anaejua kuendesha gari hashindiw kuendeshe chini ya 50km/hr
 
Mimi kwa kuwa nishazoea kukanyaga mafuta ,huwa naweka ovedfrive on.basi inakuwa nzito na kupungua mwendo yenyewe kwa ukanyagaji ule ule
Kuna gari hazina over drive i.e Subaru Legacy, Toyota Altezza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…