Jinsi ya Kuepuka Kuibiwa Mafuta Unapojaza.....

Kuna petrol stn ukifika tu wanakuja wahudumu hasa wa kike na kukuchangamkia kama wanakujua, mwingine anakukinga usione reading ya meter. Mi imeshanitokea lakini toka wakati huo nashuka kwenye gari, ukipepesa jicho wafa.
 
Hivi bongo hakuna zile self-service fuel dispensers?

Manake haya mambo ya kujaziwa mafuta yamepitwa na wakati sasa.

Mtu unaenda gas station....unashuka unajiwekea mafuta mwenyewe halafu unasepa.

Hiyo ina minimize uwezekano wa kuibiwa.

Huku bado tunawekewa....hio kujiwekea watu wataondoka bila kulipa. Halafu tutakoseshana ajira imagine petrol station lote hilo lina mhudumu mmoja humo dukani.
 
Nijuavyo, tank la gari likishajaa tu, hata kama ukiweka mode gani, pump hukata automatically. Ni sawa na boya la choo(wc au water closet) kwamba likiwa halina maji, maji yataendelea kuingia, yakishajaa yanajikata. Labda tuseme hilo gari lilikua ni gari kubwa kuanzia VX au lorry, bus nk.
 
juzi nilimwambia aniwekee mafuta ya 80000 akajikuta anaweka ya 180000, yaani hapo niliwaibia wao. sasa kazi kwake mhudumu, halafu alikuwa ni mwanamke, na hivyo wanawake SIWAPENDI ,nikaondoka zangu huyoooooooooi
Hukufanya vema. rudi ulipie hayo mafuta
 
As thrifty as I am, I can stretch that 10K like a rubber band.

In this climate I can't afford to spend any monies neither in a harum-scarum way nor with reckless abandon.

Times are hard and frugality is the name of the game.

Mkuu Asprin hata upige ji-Lusekelo tatu style hii huiwezi mkuu.
 
Huku bado tunawekewa....hio kujiwekea watu wataondoka bila kulipa.

Hapana, hawawezi kuondoka bila kulipa maana ni lazima ulipe kwanza ili dispenser iwe activated.

Unaweza kulipa nje kwa kadi [debit au credit] au unaenda ndani unalipia kaunta.

Ila kwa bongo nadhani ya kulipia kaunta ndo itafaa zaidi.
 
UK nilizozizoea unaweka then unaenda kulipa ndani. From midnight ndio unalipa kabla ya kuweka.
 
I think ilikata ila ilikuwa way over 40,000 aliokusudia.
 
UK nilizozizoea unaweka then unaenda kulipa ndani. From midnight ndio unalipa kabla ya kuweka.

Hahahaaa basi watu huko wastaarabu sana aisee.

US mara ya mwisho hizo kuwepo ni miaka ya 98 na 99.

Baada ya kusumbuliwa sana na drive-offs ikabidi watengeneze dispensers ambazo haziwezi kutoa mafuta kabla ya kulipia [ama kwa ku swipe kadi yako hapo nje na kujiwekea mafuta mwenyewe au kwenda kulipia ndani kwenye kaunta halafu unakuja nje kujiwekea mafuta].

Kama UK bado wanazo za kujiwekea mafuta kwanza halafu ndo unaenda kulipia....daah....hahahaaa.

UK na US ni tofauti sana aisee hahahaaaa.

You can't do that in the hood man....utaumia! Utakula hasara hadi utie akili.
 
Inatokeaje mita ya pampu inasoma lita 1 lakini mafuta yaliyojazwa ni pungufu au mengi zaidi.

Naomba unijuze tafadhali mleta uzi huu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] JF raha sana,maujuzi unayapata bila stress. Saafi sana.
 
Inatokeaje mita ya pampu inasoma lita 1 lakini mafuta yaliyojazwa ni pungufu au mengi zaidi.

Naomba unijuze tafadhali mleta uzi huu.
Pump imechezewa au haijafanyiwa calibration muda mrefu. Kuna wakala wa vipimo WMA kazi yake ni hio kukagua mita na vipimo vingine kama 1kg means 1kg au 1L means 1L etc
 
UK bado mkuu...kuna mitaa deliveries zinaachwa mlangoni tu kama mtu hayupo.
 
Kudhibiti kuibiwa uwe unapiga full tangi ataibaje!? akiuliza ya bei gani boss mwambie jaza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…