Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MoranoMkuu Hii Gari Gani Mkuu,??
God has many things to do with Human, am not famous, so He Cant Has time with Me...... wellcome to the ancient worldGod is watching[emoji19]
Huku bado tunawekewa....hio kujiwekea watu wataondoka bila kulipa. Halafu tutakoseshana ajira imagine petrol station lote hilo lina mhudumu mmoja humo dukani.Hivi bongo hakuna zile self-service fuel dispensers?
Manake haya mambo ya kujaziwa mafuta yamepitwa na wakati sasa.
Mtu unaenda gas station....unashuka unajiwekea mafuta mwenyewe halafu unasepa.
Hiyo ina minimize uwezekano wa kuibiwa.
![]()
Nijuavyo, tank la gari likishajaa tu, hata kama ukiweka mode gani, pump hukata automatically. Ni sawa na boya la choo(wc au water closet) kwamba likiwa halina maji, maji yataendelea kuingia, yakishajaa yanajikata. Labda tuseme hilo gari lilikua ni gari kubwa kuanzia VX au lorry, bus nk.Mungu anakuona. Kuna mtu alinisimulia stori kama hii au nilisoma JF alitoa 40,000 sasa muhudumu na haraka zake akaweka auto mode akabonyeza 400,000 akaenda kujaza gari ingine upande wa pili! Anakuja kushtuka gari imejaa full tank mafuta yanamwagika pump yake inasoma 150,000!
Hukufanya vema. rudi ulipie hayo mafutajuzi nilimwambia aniwekee mafuta ya 80000 akajikuta anaweka ya 180000, yaani hapo niliwaibia wao. sasa kazi kwake mhudumu, halafu alikuwa ni mwanamke, na hivyo wanawake SIWAPENDI ,nikaondoka zangu huyoooooooooi
As thrifty as I am, I can stretch that 10K like a rubber band.
In this climate I can't afford to spend any monies neither in a harum-scarum way nor with reckless abandon.
Times are hard and frugality is the name of the game.
Huku bado tunawekewa....hio kujiwekea watu wataondoka bila kulipa.
UK nilizozizoea unaweka then unaenda kulipa ndani. From midnight ndio unalipa kabla ya kuweka.Hapana, hawawezi kuondoka bila kulipa maana ni lazima ulipe kwanza ili dispenser iwe activated.
Unaweza kulipa nje kwa kadi [debit au credit] au unaenda ndani unalipia kaunta.
Ila kwa bongo nadhani ya kulipia kaunta ndo itafaa zaidi.
I think ilikata ila ilikuwa way over 40,000 aliokusudia.Nijuavyo, tank la gari likishajaa tu, hata kama ukiweka mode gani, pump hukata automatically. Ni sawa na boya la choo(wc au water closet) kwamba likiwa halina maji, maji yataendelea kuingia, yakishajaa yanajikata. Labda tuseme hilo gari lilikua ni gari kubwa kuanzia VX au lorry, bus nk.
UK nilizozizoea unaweka then unaenda kulipa ndani. From midnight ndio unalipa kabla ya kuweka.
Inatokeaje mita ya pampu inasoma lita 1 lakini mafuta yaliyojazwa ni pungufu au mengi zaidi.Kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu watu kuibiwa mafuta kwenye vituo. Sio mbaya kuelimishana nini cha kufanya ili kuepuka wizi huu.
Kabla ya kujua nini cha kufanya ni vizuri tujue njia kuu zinazoweza kutumika kukuibia mafuta.
1.Kukuwekea mafuta bila ku-reset mashine. Yaani anakuja bodaboda au gari anaweka 5000/10,000 ukija wewe mhudumu anaendelea kukuwekea kuanzia 5000/10,000 ile ile.
2.Pump iliochezewa, yaani kwenye lita moja yenyewe inaweka ml 700 etc.
Njia za kuepuka wizi huu ni hizi
1.Hakikisha mashine ime-reset 0000 kabla ya kuwekewa mafuta. Ukifika kituoni acha uboss, ikibidi shuka kwenye gari hakikisha mhudumu kaanzisha 0000
2.Nenda na kidumu cha lita 5 mwambie akujazie mafuta lita tano, angalia kidumu kilivyojaa na geji(kwenye pump) inavyosoma.
Ukifanya hayo mawili hapo huibiwi mafuta hata siku moja. Kingine nashauri uchague kituo kimoja uwe unaweka mafuta hapo hapo. Wakikuzoea hawawezi kukufanyia uhuni,pia lolote likitokea unajua ni wao tu.
Lakini ukiweka mafuta randomly hapa 3000 pale 10000 unaweza ukawa unamlaumu mtu bure kumbe uliibiwa jana ulipoweka 10,000 umekuja kushtukia leo ulipoweka 20,000.
Mimi huwa naweka mafuta weekly,thamani ile ile ya hela kazi yangu ni kuangalia idadi ya lita na mshale umefika wapi, siku zote mshale unakuwa eneo lile lile,hawezi mtu kuniibia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] JF raha sana,maujuzi unayapata bila stress. Saafi sana.Hii ya kidumu kuna "sheli" flani hivi maeneo ya Tegeta waligoma kuniwekea kwenye kidumu. Nilipowauliza kwanini wakanambia ni kwa sababu za kiusalama... nami kwa sababu za kiusalama nikaondoka salama na fedha yangu ikiwa salama...
Sitakagi ujinga kwenye usalama wa pesa yangu... malabuku zao na nusu!!
Pump imechezewa au haijafanyiwa calibration muda mrefu. Kuna wakala wa vipimo WMA kazi yake ni hio kukagua mita na vipimo vingine kama 1kg means 1kg au 1L means 1L etcInatokeaje mita ya pampu inasoma lita 1 lakini mafuta yaliyojazwa ni pungufu au mengi zaidi.
Naomba unijuze tafadhali mleta uzi huu.
UK bado mkuu...kuna mitaa deliveries zinaachwa mlangoni tu kama mtu hayupo.Hahahaaa basi watu huko wastaarabu sana aisee.
US mara ya mwisho hizo kuwepo ni miaka ya 98 na 99.
Baada ya kusumbuliwa sana na drive-offs ikabidi watengeneze dispensers ambazo haziwezi kutoa mafuta kabla ya kulipia [ama kwa ku swipe kadi yako hapo nje na kujiwekea mafuta mwenyewe au kwenda kulipia ndani kwenye kaunta halafu unakuja nje kujiwekea mafuta].
Kama UK bado wanazo za kujiwekea mafuta kwanza halafu ndo unaenda kulipia....daah....hahahaaa.
UK na US ni tofauti sana aisee hahahaaaa.
You can't do that in the hood man....utaumia! Utakula hasara hadi utie akili.
Safii.Morano