Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 437
- 867
Mpaka mtu anatoa pesa yake mfukoni maana yake alishaiandaa kwa kununua kitu husika na ameridhia, sasa shida iko wapi? Kitu cha msingi asiuziwe bidhaa feki tu, ila kama katimiza lengo lake la kupata bidhaa sahihi hakuna shida wakuu