Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Ni kumpa pole tuAlishapigwa 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kumpa pole tuAlishapigwa 🤣🤣
Naomba Oda ya vyuti na Office wear Rrondo....Mbona nahisi wewe ni winga? 🤣🤣
Kariakoo ni sehemu ya masikini kwenda kufana shoping
Na vibegi vidogofull vipensi na sendo na socks😂
Yani apo mteja kuumia ni atake asitake😁😁
Bora waishie kuwa vishoka, watakuja kugeuka racketeering mafia.Ila mkuu, hawa mawinga tukiwaendekeza ni suala la muda tu hawatadhibitika kama vishoka.
haipingwiYani apo mteja kuumia ni atake asitake😁😁
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mlimani City panatisha Sana.
Unaambiwa kama wewe Pesa yako ya mawazo epuka kupata huduma au kununua Bidhaa sehemu isiyo na kelele Bidhaa au huduma zîpo bei juu
Mkuu habari, hatimae tumekutana tena huku japo lengo la kufungua huu uzi ni kutokana na ile thread yako ya nyuma kdg, maana nipo nafatilia kwa ukaribu zaidi, Baada ya ukimya kwa muda mrefu hukuweza kujibu, Samahani mkuu unaweza kunielekeza kwa yule Mwarabu ulipokua unaenda kuchulia bidhaa kipindi hicho, Au ikiwezekana nitajie hizo bidhaa na majina yake kabisa inbox, Nitashukuru sana mkuu, ila samahani kuwa kinyume na mada husika, Na kama ni usafiri nishanunua shida bidhaa hizo mkuu natanguliza shukran me nipo mkoani!!Huyo mwenye duka anaeruhusu watu kumharibia biashara anakuwa anajua au hajui??
campuscitymall.com