Smooth Criminal JF-Expert Member Joined May 13, 2024 Posts 437 Reaction score 867 Dec 29, 2024 #241 Mpaka mtu anatoa pesa yake mfukoni maana yake alishaiandaa kwa kununua kitu husika na ameridhia, sasa shida iko wapi? Kitu cha msingi asiuziwe bidhaa feki tu, ila kama katimiza lengo lake la kupata bidhaa sahihi hakuna shida wakuu
Mpaka mtu anatoa pesa yake mfukoni maana yake alishaiandaa kwa kununua kitu husika na ameridhia, sasa shida iko wapi? Kitu cha msingi asiuziwe bidhaa feki tu, ila kama katimiza lengo lake la kupata bidhaa sahihi hakuna shida wakuu
Minjingu Jingu JF-Expert Member Joined Nov 2, 2023 Posts 1,072 Reaction score 2,384 Dec 29, 2024 #242 EricMan said: SONY 1000W Click to expand... Hii mimi nlinunua hapo hapo kwa tsh 845,000.
Minjingu Jingu JF-Expert Member Joined Nov 2, 2023 Posts 1,072 Reaction score 2,384 Dec 29, 2024 #243 Miss Natafuta said: Inauzwa 195,000 mkuu Click to expand... Hapana.hii anapata kwa tsh 160,000. Na receipt
Miss Natafuta said: Inauzwa 195,000 mkuu Click to expand... Hapana.hii anapata kwa tsh 160,000. Na receipt
EricMan JF-Expert Member Joined Oct 5, 2017 Posts 3,050 Reaction score 5,420 Dec 29, 2024 #244 Minjingu Jingu said: Hii mimi nlinunua hapo hapo kwa tsh 845,000. Click to expand... mwaka gan?
Minjingu Jingu JF-Expert Member Joined Nov 2, 2023 Posts 1,072 Reaction score 2,384 Dec 29, 2024 #245 EricMan said: mwaka gan? Click to expand... Huu mwezi wa 4