Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Saa sita na dakika mbili...Daaah kweli kazi ipo...ngoja nicheki sa ivi ni saa ngapi...
kiwe kilaini ili niwe nacheza nikiwa na mood ya kufanya hivoOk,unataka kiwe kigumu ili ukipe kazi gani?nijibu ili nikusaidie mama
ππKweli vyuma vimekaza ticha unataka kujiongezea kipato cha kudensi.
Ndio pamoja na unounataka kulitingisha wowowo
Ndo nayahitaji hayo mazoeziKiuno tu au lazima ipewe support ya nguvu na yule mnyama sijui mdudu anaeitwa chura?
Nafikiri ni mazoezi na mazingira pia, uswahilini ni balaa kwa hayo mambo.
Acha utani basi nipo seriouskilainishe kwa kutumia shahamu (grisi) !!
Msaada wako please[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Evelyn Salt
Nna umri gani?Dah!
Umri wote huo bado hujui kukizungusha?
Nntwara wanafundishwa wakiwa unyagoni.
Ndo nayahitaji hayo mazoezi