Jinsi ya kufanya kiuno kigumu kiwe laini

My sister, twerking is all about exercise tembelea youtube uone videos zao hasa Wajamaica ndio wanapenda sana huo mchezo halafu wala sio mgumu basi tu, Riri na kiuno chake kigumu vile lakini she knows how to twerk.
 
Unatoa nguo zote halafu unainama kama mbuzi halafu unasogeza kalio upande
 
My sister, twerking is all about exercise tembelea youtube uone videos zao hasa Wajamaica ndio wanapenda sana huo mchezo halafu wala sio mgumu basi tu, Riri na kiuno chake kigumu vile lakini she knows how to twerk.
Kumbe, ngoja nipitie
Huwa namuona hudda pia anatwerk na anajua kweli kweli
 
kwanza uanze mazoezi ya viungo ili kulainisha misuli ya mapaja na miguu, pia uruke kamba na kukimbia kwa ajili ya kupata pumzi....
kisha learn how to twerk itakua simple kama ukishakua umeiva kimazoezi japo na yenyewe ni moja kati ya Butt exercises.
 
Kumbe na huku uko safi tu
 
kwanza uanze mazoezi ya viungo ili kulainisha misuli ya mapaja na miguu, pia uruke kamba na kukimbia kwa ajili ya kupata pumzi....
kisha learn how to twerk itakua simple kama ukishakua umeiva kimazoezi japo na yenyewe ni moja kati ya Butt exercises.
Ahsante sana, nitaanza kunyoosha viungo kwanza
 
nipo nawaangalia madancer wa vanessa mdee hapa may be naweza kupata ujuzi wa kuja kukufundisha kwa vitendo zaidi
 
Back
Top Bottom