Jinsi ya kufanya kiuno kigumu kiwe laini

Ebu kwanza weka picha ya hicho kiuno chako tuone,isijekua una kiuno kigumu kama mpingo alafu unata kiwe laini kama cha Ray C wetu.
 
Duh, kumbe hadi ww unakiuno kigumu....kweli vyuma vimekaza....
Nkikuchapa na million kumi lazma kiuno kilainike...
 
Hili swali ata waziri wa mikatiko dada Juliana Shonza hawezi jibu,maana ni very privately aise!!
Mdada mpaka anauliza mbinu mujarabu za kujifunza kubonyea kiuno na kubinua makalio huku ametanua miguu kwa namna kama anataka kuchutama halafu aanze kunesanesa sijui ili iweje!
 
Hivi wale watu wanakuaga na viuno laini ni wanakua wamezaliwa hivo walaini au ni mazoezi ?Kama ni mazoezi ni yapi hayo waweza kufanya kiuno kiwe laini....

Napenda hiyo shughuli kucheza, kutwerk ila kiuno kinakua hakina ushirikiano msaada.
BAK ka video ka kutwerk please 😀
Cc Miss Natafuta na MBITIYAZA wataalamu wa hizi kazi
Pole sana mwanamke gogo!
 
Mdada mpaka anauliza mbinu mujarabu za kujifunza kubonyea kiuno na kubinua makalio huku ametanua miguu kwa namna kama anataka kuchutama halafu aanze kunesanesa sijui ili iweje!
Mazoezi ya viungo
 
Sio tu vyuma hadi viuno vimekaza...
Million kumi si hadi uwe nayo
Tatizo lenu cku hzi mnatuambia tumwage nje mara kondomu ndo maaana viuno vinakaza....mtoto kama ww unatakiwa umwagiwe bao ndani

Bao ni kama lubricant fulan hv, inaenda kulainisha viuno ndani humo

Cku hz wanawake mnatembea ka mnakula cement....mbele haisomi wala nyuma haisomiii.....hatakama mna chura, chura ka amepigwa na shoti ya umeme....ah.
 
mazoezi ya viungo hayahusiani na ngono, punguza uasherati
 
Mdada mpaka anauliza mbinu mujarabu za kujifunza kubonyea kiuno na kubinua makalio huku ametanua miguu kwa namna kama anataka kuchutama halafu aanze kunesanesa sijui ili iweje!
Lazima kuna kitu amegundua tu huyu!!na vyuma hivi vilivyokaza najua labda anataka kuboresha mfumo wa uchezaji ili kupandisha dau la kule Taifa!!
 
Mitizamo binafsi inaruhusiwa
 
Alafu wabongo tunavyopenda "chini" hapa najua watu akili zimehamia kwenye ngono!
 
Back
Top Bottom