Jinsi ya kufanya kiuno kigumu kiwe laini

Jinsi ya kufanya kiuno kigumu kiwe laini

Kwa raha zako. Zoezi jema ila uwe muangalifu tu usivunje nyonga.

Viuno vyote tisa kumi ni huyu mrembo. Anajua kuzungusha kiuno chake hadi raha.

Hivi wale watu wanakuaga na viuno laini ni wanakua wamezaliwa hivo walaini au ni mazoezi ?Kama ni mazoezi ni yapi hayo waweza kufanya kiuno kiwe laini....

Napenda hiyo shughuli kucheza, kutwerk ila kiuno kinakua hakina ushirikiano msaada.
BAK ka video ka kutwerk please 😀
Cc Miss Natafuta na MBITIYAZA wataalamu wa hizi kazi
 
Fanya zoezi hili, kila siku usiku kabla ya Kulala, lalia mgongo afu chora kuanzia sifuri mpaka kumi kwa kutumia kiuno huku miguu ukiwa umeikunja mtindo wa leba, kadri unavyoendelea unazoea na kiuno kulainika siku hadi siku mwisho utaweza kuchora mpka hamsini kwa kiuno tu.[emoji85][emoji85]
Ha ha ha ha aseee nmecheka duh!!!!
 
Kuna mtu unataka umteke kwa mauno nn?
 
Hivi wale watu wanakuaga na viuno laini ni wanakua wamezaliwa hivo walaini au ni mazoezi ?Kama ni mazoezi ni yapi hayo waweza kufanya kiuno kiwe laini....

Napenda hiyo shughuli kucheza, kutwerk ila kiuno kinakua hakina ushirikiano msaada.
BAK ka video ka kutwerk please 😀
Cc Miss Natafuta na MBITIYAZA wataalamu wa hizi kazi
niPM
 
Napenda siku nyingi sema tu ndo hakinioneshagi ushirikiano, sasa naona nazidi kupata hamu ya kufanya hivo
Naomba uni pm nitakupa maelekezo kamwe hutasahau na utanikumbuka sana sana Eve.
Utajikuta kinakuwa laiiiniii na kinakata chenyewe kwa kuenda na bit ya Mlio
huwa nafundisha ila Ada nakulipia mwenyewe...usione Aibu kujifunza...
 
Ha ha ha Monaco hujambo lakini
 
Back
Top Bottom